January Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%.
Lakini kwa bahati mbaya kwa yale yaliyotokea amejikuta tayari amepitishwa kuwa mbunge jambo ambalo halimpi fahari yoyote kama mwanasiasa " hai".
January amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.
My take: January kupitishwa bila kupingwa ni ufaulu wa % ngapi?
Maendeleo hayana vyama!
Hata kwa wabunge wa viti maalum hayupo.Kwa sasa January ni mbunge wa viti maalumu na hilo ndio linalomsikitisha.
Yaani Ummy Mwalimu akishinda atakuwa na hadhi kubwa zaidi yake!
Kwani wakati wa JK yule Mbatia alikuwa mbunge wa viti gani?Siku hizi Viti maalumu hadi wanaume
Mbunge wakuteuliwa na raisKwani wakati wa JK yule Mbatia alikuwa mbunge wa viti gani?
Labda ndio maana awali Bob Chacha Wangwe alishinda kesi yake pale mahakama kuu kuhusu wasimamizi wa uchaguzi!Hata kwa wabunge wa viti maalum hayupo.
Maana wale wamegawanyika. Wako wa kuteuliwa kupitia jumuiya za vyama, wako wa kuteuliwa na rais, na kadhalika.
Yeye kote hayupo.
Kisheria ubunge wake unaweza kuwekewa pingamizi. Maana hautambuliki kikatiba.
Ndiyo maana hata yeye mwenyewe anajistukia.
Ndio viti maalumu hivyo!
Seriously ?, Wabunge wetu hawa (overpaid, underperforming) raha yao ni kuitwa waheshimiwa na kuwa watawala...,Ubunge wa aina hiyo hauna raha,thamani wala heshima mbele ya Jamii.
Mpuuzi huyu na wakati alisuka mkakati yeye na DEDJanuary Makamba anasema mwaka 2015 kwenye kura za ubunge alifaulu kwa 84% na mwaka huu baada ya kufanya kazi kubwa jimboni alitegemea kufaulu kwa 90%.
Lakini kwa bahati mbaya kwa yale yaliyotokea amejikuta tayari amepitishwa kuwa mbunge jambo ambalo halimpi fahari yoyote kama mwanasiasa " hai".
January amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter.
My take: January kupitishwa bila kupingwa ni ufaulu wa % ngapi?
Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na kipara chakeMakamba Mnafiki Sana.
Hivi umetafakari kabla ya kuniuliza swali lako lililo nje kabisa ya mada!?Endapo Tundu.angefanikiwa kuweka pingamizi lake kwa Magufuli je usingefulahi?
Ile hukumu imenirudishia imani kidooogo kwenye mahakama zetu.Labda ndio maana awali Bob Chacha Wangwe alishinda kesi yake pale mahakama kuu kuhusu wasimamizi wa uchaguzi!
Sidhani kama ana ujasiri huo!Ateme jimbo kama ana huruma sana