January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

Kwani kumbe kuna mashindano tena?
Kiufupi yapo si ndio maana mnampinga January?

Na ndio maana Kuna yule mnaemuita shujaa sijui mwamba and such blaa blaa
Bila mashindano tutajuaje nani kafanya vyema?
 
Achana na huyo ndio wanafisadi kwa sasa lakini wakumbuke kuwa kuna siku yaja watazirudisha kupitia matundu yao yaliyopo mwilini mwao.
Nashangaa ananijaza upepo kwamba kila sekta ina pesa za kutosha..
 
Kaweka sheria ngumu huko nssf adi leo watu tuna pay zetu nyingi tunaishia kupewa 33% yule bwana sijui tungekua wapi leo hii. Samia ana kazi ngum sana mkuu mana alikua anajofanya kajenga vituo vya afya 3000 sasa haajiri cjui walikua wanafanya kazi wachawi ivo vituo vyake
 
mkuu haya nayajua. oya mzee nije PM unipe shavu kitaa cha moto sana
Shavu gani unataka Kwa nini usiombe kazi zimetangazwa huko au usikamatie fursa kwenye miradi?

Tatizo wanaume wa Dar urojo sana,sasa kazi za urojo hazipo ,Kuna Minara zaidi ya 700 inajengwa Nchi nzima na wewe unajua Rais alizindua tafuta makampuni huko uombe kazi.
 
Wakate tena umeme tuone, tunataka tuone unafuu wa umeme kupitia bwawa letu. Tunataka kutoka mazingira kuacha kutumia kuni kwa umeme nafuu, tunataka kuepuka miradi ya gesi ya watu kwa kutumia umeme wa Taifa. Chonde waziri wa fedha umeme utumike kama huduma ya lazima na sii chanzo Cha kodi
 
hiyo miradi 700 ya wapi ? nipe connection mbona tunawekeana mitima nyongo sana.. unafikiri mie sifanyi application za kazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…