January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

Kwani kumbe kuna mashindano tena?
Kiufupi yapo si ndio maana mnampinga January?

Na ndio maana Kuna yule mnaemuita shujaa sijui mwamba and such blaa blaa
Bila mashindano tutajuaje nani kafanya vyema?
 
Hakuwa na hela ,Mzee wangu alistaafu kazi kuja kupewa mafao baada ya miaka 2 tena kwa.kupunjwa 😁😁

Unafukiza wafanyabiashara,unakamata matajiri,unagombana na majirani sijui Wazungu utapata wapi wawekezaji?

Propaganda zilikuwa nyingi kuliko vitendo,imagine Rais anaenda kuzindua Vituo vya Afya,hiii kazi Samia akitaka kufanya atafia barabarani maana Kuna utitiri wa miradi sekta zote.
Kaweka sheria ngumu huko nssf adi leo watu tuna pay zetu nyingi tunaishia kupewa 33% yule bwana sijui tungekua wapi leo hii. Samia ana kazi ngum sana mkuu mana alikua anajofanya kajenga vituo vya afya 3000 sasa haajiri cjui walikua wanafanya kazi wachawi ivo vituo vyake
 
mkuu haya nayajua. oya mzee nije PM unipe shavu kitaa cha moto sana
Shavu gani unataka Kwa nini usiombe kazi zimetangazwa huko au usikamatie fursa kwenye miradi?

Tatizo wanaume wa Dar urojo sana,sasa kazi za urojo hazipo ,Kuna Minara zaidi ya 700 inajengwa Nchi nzima na wewe unajua Rais alizindua tafuta makampuni huko uombe kazi.
 
Wakate tena umeme tuone, tunataka tuone unafuu wa umeme kupitia bwawa letu. Tunataka kutoka mazingira kuacha kutumia kuni kwa umeme nafuu, tunataka kuepuka miradi ya gesi ya watu kwa kutumia umeme wa Taifa. Chonde waziri wa fedha umeme utumike kama huduma ya lazima na sii chanzo Cha kodi
 
Shavu gani unataka Kwa nini usiombe kazi zimetangazwa huko au usikamatie fursa kwenye miradi?

Tatizo wanaume wa Dar urojo sana,sasa kazi za urojo hazipo ,Kuna Minara zaidi ya 700 inajengwa Nchi nzima na wewe unajua Rais alizindua tafuta makampuni huko uombe kazi.
hiyo miradi 700 ya wapi ? nipe connection mbona tunawekeana mitima nyongo sana.. unafikiri mie sifanyi application za kazi ?
 
Back
Top Bottom