January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme


Hii ni miradi ya awamu ya tano mwambie akuonyeshe mradi hata mmoja tu wa maana alioanzisha yeye sana sana atakuonyesha miradi ya kifisadi tu kama huu wa kubadirisha nguzo za umeme na software ya Enterprise ya Tanesco.
 
Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi [emoji1787][emoji1787]

Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par

Mama amekopa hela kila kona… kaingia kwenye vikoba vya ki mataifa
 
Hii ni miradi ya awamu ya tano mwambie akuonyeshe mradi hata mmoja tu wa maana alioanzisha yeye sana sana anakuonyesha miradi ya kifisadi tu kama huu wa kubadirisha nguzo za umeme na software ya Enterprise ya Tanesco.
Utaongea yote ,Kwa nini hamkuimaliza awamu ya tano? 😁😁😁
 
wee hapana nilikiwa na miradi na tulikuwa tunalipwa on time.. sio sasa hivi .. sasa hivi njaa sana mwana
Ndio hasara ya kuwa na miradi ya kutegemea godfather na njia za mkato mkato
Ngoja uone moto najua Sasa Serikali imepangua wale wote waliokuwa wamepata kazi kienyeji na kubeba ndugu zao wa Kanda ya Ziwa ndio maana Sasa hivi unasugua mawe..

Wakandarasi wenzio Kwa Sasa wanafurahia harafu wewe unaongea ujinga,demu wangu Yuko Tabora huko kwenye mradi wa Rea mbona hajawahi nibia hizi shida?
 
Back
Top Bottom