National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Miradi ya REA imekuwa ya hovyo sana mkuu sasa hiviSaizi kazi zimeyeyukia wapi ππ
Kungekuwa na njaa ungekuta miradi imesimamawee hapana nilikiwa na miradi na tulikuwa tunalipwa on time.. sio sasa hivi .. sasa hivi njaa sana mwana
Ebu tuachane na siasa kaka. Nipe shavuKungekuwa na njaa ungekuta miradi imesimama
Wewe mbona hukunipa shavu wakati unakula.meme.ya Nchi ya baba yenu? π€£π€£Ebu tuachane na siasa kaka. Nipe shavu
Hii ni miradi ya awamu ya tano mwambie akuonyeshe mradi hata mmoja tu wa maana alioanzisha yeye sana sana atakuonyesha miradi ya kifisadi tu kama huu wa kubadirisha nguzo za umeme na software ya Enterprise ya Tanesco.
Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi [emoji1787][emoji1787]
Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par
Pole sana Mkuu vumilia hivyo hivyo Rea yenyewe inaelekea mwishoniMiradi ya REA imekuwa ya hovyo sana mkuu sasa hivi
Utaongea yote ,Kwa nini hamkuimaliza awamu ya tano? πππHii ni miradi ya awamu ya tano mwambie akuonyeshe mradi hata mmoja tu wa maana alioanzisha yeye sana sana anakuonyesha miradi ya kifisadi tu kama huu wa kubadirisha nguzo za umeme na software ya Enterprise ya Tanesco.
Miradi ina kuwa na kipindi za kumaliza. TimelineUtaongea yote ,Kwa nini hamkuimaliza awamu ya tano? πππ
π π π mkuu tulikuwa hatujuani sasa.. udugu si ndio uanze sasaWewe mbona hukunipa shavu wakati unakula.meme.ya Nchi ya baba yenu? π€£π€£
Ndio hasara ya kuwa na miradi ya kutegemea godfather na njia za mkato mkatowee hapana nilikiwa na miradi na tulikuwa tunalipwa on time.. sio sasa hivi .. sasa hivi njaa sana mwana
REA ilikuwa zamani sio sasa hivi..Pole sana Mkuu vumilia hivyo hivyo Rea yenyewe inaelekea mwishoni
Sina huo ujinga Mimi Mkuuπ π π mkuu tulikuwa hatujuani sasa.. udugu si ndio uanze sasa
Miaka 5 mlikuwanafanya kazi gani?Miradi ina kuwa na kipindi za kumaliza. Timeline
Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko π₯π₯π₯
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
Poa banaas .. acha tupambane.. nyie kuleni tu asali maana kamba zenu hazina ukomoSina huo ujinga Mimi Mkuu
Kama alivyochelewesha SGR au sio??Angekuwepo lisingeisha mapema hivi
Sasa wewe Sgr uharakishe na umeme hakuna itakusaidia nini?Kama alivyochelewesha SGR au sio??