National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Nitashukuru sana mkuu, maana njaaa inaniua mkuu nimepauka hatari.. Tabora najua kuna Ok pamoja na wale wa srilanka.. nipe shavu mkuu nitetee tumbo nisije kimbia familiaNitamuuliza baadae anafanya kazi na kampuni gani nikuunganishe kenge wewe
huu mradi ulikuwa toka kipindi cha JPM na nichomoaga jamaa walitaka kunipa sub .. hawa wanajisifia miladi ya Hayati JPMMiradi ina kuwa na kipindi za kumaliza. Timeline
huu mradi ulikuwa toka kipindi cha JPM na nichomoaga jamaa walitaka kunipa sub .. hawa wanajisifia miladi ya Hayati JPM
Rudisheni pesa za watu mlizopora kenge nyieHongera JPM
Hiyo ni gia ili apate mitririoni yake 3 hapo..Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) litakuwa na uwezo wa kuanza kuzalisha umeme.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Mei 31, 2023 na Waziri wa Nishati, Januari Makamba wakati akiwasilisha bajeti yake kwa mwaka 2023/24 ambayo ameliomba Bunge lipitishe jumla ya Sh3.048 trilioni.
Waziri Makamba amesema kuwa ujazo wa maji uliofikiwa katika Bwawa hilo ni mita za ujazo 163, lakini kiwango kinachotakiwa bado mita za ujazo mbili.
“Mheshimiwa Spika, ninafurahi kulitaarifu Bunge lako kuwa, wiki ijayo hata tukiamua kuanza uzalishaji wa umeme tunaweza kwani kiwango cha chini cha uzalishaji maji tumebakiza mita za ujazo mbili tu,” amesema Makamba.
Hata hivyo Waziri amesema kuwa uzalishaji wa umeme utakaoanza rasmi katika mwaka huu wa fedha, utaingizwa katika gridi ya Taifa mwakani sambamba na umeme wa jua
Hizo hela zipo wapi au mnagawana pesa zetu za kodi kama nyugu ,kama mlivyofanya kule kwa SGR kupitia mbarawaAlikuwa mjinga,huwezi haribu uchumi sekta zingine Kwa visingizio vya kipuuzi
Swali Mbona Sasa hivi Kila sekta Kuna pesa tena zimeongezeka mara 2,zometoka wapi? Mfano Watoto wa vyuo Vikuu wote wamepata mkopo yule mtu wenu alishindwa [emoji1787][emoji1787]
Kwani huoni miradi ikitekelezwa? Sasa hivi bwawa linaenda kuzalisha umeme unadhani wanalipa kamasi zako brooHizo hela zipo wapi au mnagawana pesa zetu za kodi kama nyugu ,kama mlivyofanya kule kwa SGR kupitia mbarawa
Safi sana 💪💪
Watu wajinga tu ndo wanamuona empty.kama angekuwa empty Tanzania usingepata miradi mizuri kama ujenzi wa bwawa hili.Jiwe alikuwa empty
Sio tu lisingeisha mapema hivi, lisingejengwa kabisa...futseke zako!Angekuwepo lisingeisha mapema hivi
samia unamuogopa makamba?Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko [emoji91][emoji91][emoji91]
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
---
WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameliambia Bunge kuwa kwa muda wa wiki moja kuanzia leo (Mei 31, 2023), Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere litafikisha kiwango cha ujazo wa maji utakaowezesha kuanza uzalishaji wa umeme.
Waziri huyo wa Nishati amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2023/ 2024 bungeni mjini Dodoma leo.
“Ninayo furaha kulitaarifu Bunge lako Tukufu kwamba katika kipindi cha wiki moja kuanzia leo, bwawa letu litafikisha kiwango cha ujazo wa maji (yaani mita 163 kutoka usawa wa bahari) kinachowezesha kuanza uzalishaji wa umeme” amesema Makamba.
Chanzo: Habari Leo
Achana na huyo empty set mkuu!Mkuu sina haja ya kutaja sekta ila huo ndio ukweli. Na sie tupo kitaaa huku tunaona mambo yalivyoo.. usije kuwa upo kwenye mrija ndio maama huoni issue 😅😅😅
,😅😅 analamba asali huyoo, kuna mahala nimefanya kazi mwezi wa tano huu sijalipwa hadi nimekuwa omba omba mda wote nafunga simu kukimbia madeni .. nimekuwa kama DudeAchana na huyo empty set mkuu!
Mkuu hujamwelewa au pengine hajaeleweka.Hatinaye mashine ya kwanza kuanza kuzalisha umeme,
Mambo tayari huko 🔥🔥🔥
Hongera Serikali, Hongera Rais na Hongera Waziri Makamba
---
WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameliambia Bunge kuwa kwa muda wa wiki moja kuanzia leo (Mei 31, 2023), Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere litafikisha kiwango cha ujazo wa maji utakaowezesha kuanza uzalishaji wa umeme.
Waziri huyo wa Nishati amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2023/ 2024 bungeni mjini Dodoma leo.
“Ninayo furaha kulitaarifu Bunge lako Tukufu kwamba katika kipindi cha wiki moja kuanzia leo, bwawa letu litafikisha kiwango cha ujazo wa maji (yaani mita 163 kutoka usawa wa bahari) kinachowezesha kuanza uzalishaji wa umeme” amesema Makamba.
Chanzo: Habari Leo