rastar mjeshi
Senior Member
- Aug 15, 2023
- 193
- 253
Huyu nae nikumsagia kunguni na mazongo juu mpaka atokeNext ni Mwigulu Nchemba, kama mama yuko serious anataka tumuunge mkono kwanza tunampongeza kuwaondowa hao wahuni lakini bado Mwigulu Nchemba aondolewe pia.
Kuwa na adabu!Wahuni wapo wengi sn akina Ummy, Bashe, Masauni, Mbarawa, Jafo, Aweso n.k
Angalau wewe umeongea kitu cha tofauti sana ambacho sikufikiria na kina make sense.Hawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025. Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
UWT nimekugusa kidogoKuwa na adabu!
Unasikiliza ujinga mtupu, ccm inawekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo na hao wajinga wawili.Angalau wewe umeongea kitu cha tofauti sana ambacho sikufikiria na kina make sense.
Whatever, bado hao watu wanafahamika kutumika kwenye hizo kazi wakiwa mstari wa mbele.Unasikiliza ujinga mtupu, ccm inawekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo na hao wajinga wawili.
Hoja ya kuwa karibu na Kikwete kumbeba haina mashiko January uwezo anao ingekuwa hana hasingeaminiwa nafasi kubwa kama Waziri wa Teknolojia, Nishati, kubwa zaidi wizard nyeti ya mambo ya njeHakuna hata sababu moja ni ya kweli kati ya ulizotoa hapa, ila ukweli ni kwamba January Makamba hana Uwezo wowote ule iila tu Ukaribu wake na aliyekuwa Rais wa Tanzania Mzee Kikwete kupitia kwa Baba yake ndiko Kulimbeba na pia tabia yake ya kutokuwa na Maadili kama Mtumishi na Ufisadi alioufanya, Tamaa, Majungu kwa Mama ( Rais ) na Unafiki ( Undumilakuwili ) wake vyote kwa pamoja ndiko Kummemgharimu.
Huwezi jua huko ardhi pamoja na mikwara yake pengine nyuma ya pazia kuna madudu kibao yanafanyika rais wa nchi ana macho mengi na mkono mrefu na kuambiwa (kujua) mengi tambua hiloCzani kama hiyo ni sababu, kwani tenguzi/teuzi hizi ni kama sandakalawe tu, akiamua ni hivyo, sasa mfano kwenye ardhi kulikuwa kuna shida gani? Alijitahidi kiasi chake lakini yuko wapi?
Alikuwa anapeleka udaku kuhusu Rais kwa Dada Kimavi kwani hukumsikia RC? Halafu kweli sisi tutawaliwe na ukoo wa Makamba!!?Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Endelea kuota!Bado dogo ni raisi ajaye. Amerudishwa masaki for 2025. Mbinu za Kizimkazi wengi zinawapiga chenga.
Ummmy yupo vizuri..ukimsema vibaya unachuki zako tu..na Sio kingine..Ila mnyonge mnyongeni..haki yake mpeni; Waziri Ummy ameiweza sana siasa na utendaji wa Wizara ya afya..Haya mengine ni porojo tu ambazo hazina mashikoHaya sasa huyo mwalimu kuna kitu gani anafanya huko zaidi ya uchawa tu, lakini ataendelea sana kuwepo!! Yaani hata huwezi kujua tunataka nini, ni sandakalawe tu
Karibu viongozi wote wanafanya ufisadi hasa nchi zetu hizi masikini za dunia ya 3 mpaka marais wenyewe kwa nini wengine wasitumbuliwe? Kuna vita kubwa sana kwenye nafasi ya urais nje na ndani ya CCM na ndio sababu za tenguzi hizi za mara kwa mara watu wanapanga timu zao mapemaSidhani kama kumuita mtu Rais ajaye inaweza kuwa sababu
Kuna uzembe wa kazi na hata uwezekano wa upigaji, maana upigaji upo kila kona
Kuna wengine wanapiga huku wamelala
Na kuna wengine kelele nyingi mara aweke ndani mtu, mara atengue kitu kumbe mpigaji mkubwa
Tunaweza kuwa wapiga ramli ila mengine ni kweli
Najua hilo kuwa rais ana macho mengi lakini ukweli ni kwamba kuna vita kubwa kwenye urais mwakani ndani ya CCM kwa hiyo wakubwa hawa wanawindana kama madudu (ufisadi) viongozi wengu wanafanya mbona hawaguswi?Vingine vya kusemwa, infact kwenye serikali si kila kitu utafaham
Majengo yake ya kenya sijui itakuwajeKuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Huyo RC mwenyewe ni mdaku, kwani ukoo wa Makamba hawana haki kutawala nchi hii? Ukoo upi wenye haki?Alikuwa anapeleka udaku kuhusu Rais kwa Dada Kimavi kwani hukumsikia RC? Halafu kweli sisi tutawaliwe na ukoo wa Makamba!!?
Upigaji. Ni mpigaji hatariKuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Watarogana sanaKaribu viongozi wote wanafanya ufisadi hasa nchi zetu hizi masikini za dunia ya 3 mpaka marais wenyewe kwa nini wengine wasitumbuliwe? Kuna vita kubwa sana kwenye nafasi ya urais nje na ndani ya CCM na ndio sababu za tenguzi hizi za mara kwa mara watu wanapanga timu zao mapema