January Makamba kuitwa Rais ajaye na ukaribu wa familia yake na Mange Kimambi kumemponza na kutumbuliwa nafasi yake ya Waziri wa Mambo ya Nje

Baadhi ya wa TZ wana majungu sana.
Kwani kubadilishwa Uwaziri si ni jambo la kawaida tu kutokana malengo ya Raisi?
Kuondolewa Uwaziri huenda kunalenga kuboresha jambo fulani na sio lazima iwe waziri husika kakosea.
 
Nilisikia kuwa =
 
Kinana ajiandae 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1815295488586883307?t=2ERGV4Epf6uyFGja_eOTBg&s=19
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mtu anajisifia kushinda uchaguzi kwa wizi? Na bado hajisikii vibaya? Kweli dunia inafika mwisho
 
Hii siyo sababu.
Wewe huoni pattern kati ya utenguzi huu na ule wa kipindi kile cha JPM? Rais hana muda wa kuhangaika na mtu anayeitwa Rais ajaye kwa sababu vipindi vyao ni ni lazima viwe taofauti
 
Nchi ya ajabu sana hii. Mtu anajisifia kushinda uchaguzi kwa wizi? Na bado hajisikii vibaya? Kweli dunia inafika mwisho
Mkuu ni mambo ya ajabu... ndio maana unaona wakati mwingine tunafanya mzaa tu sababu uki mind utapata presha tu. CCM ujinga wanaoongea mwingi sana
 

Kuna watu wanaratibu michezo yote. CCM inajua itashinda ushindi 1000% ila lazima ifanye kampeni na kuratibu mipango yao, hawa ndo benchi la ufundi. Lazima hao maDED wawe kept in check. Someone has to do some coordination. CCM haiwezi kaa tu ikisubiri ushindi hata kama inajua itashinda fika.
 
Nape/ Makamba makampeni meneja. goli la mkono .this time sidhani mama atakubali dhambi hiyo ninamuona kuwa ana hofu ya Mungu. si ya kinafiki

Kwahiyo unadhani mpiga mwingi atafanya kampeni na kufanya uchaguzi wa haki na akishindwa ataachia ngazi? Power corrupts.
 
Rais Samia Suluhu Hassan mm ningekuwa mpinzani nisenge simamisha mgombea Cha msingi ni kuongeza nguvu kupata wabunge wengi sana kwa Urais upinzani bado
 
Rais Samia Suluhu Hassan mm ningekuwa mpinzani nisenge simamisha mgombea Cha msingi ni kuongeza nguvu kupata wabunge wengi sana kwa Urais upinzani bado
Ujue kura za rais nazo zinafaida kwenye chama zikiwa nyingi hata kama hawakushinda ruzuki inaongezeka

Na ili upate wabunge wengi ni lazima uweke mgombea wa urais kwenye chama chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…