Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Huyo February ana umri gani mpaka unamuita kijana?
 
Yaani Chadema wanagombea eti chama wanachaguana kifamilia na watu wanashabikia!
 
Hizi tetesi ni tuu machi izi hamfuli
 

Attachments

  • Screenshot_20250108_184917.jpg
    210.1 KB · Views: 5
Umeingia chaka. Makamu Mwenyekiti wa CCM anapatikana tarehe 17-18 Janauari baada ya Kikao kijacho.

Wala hawezi kuwa Januari Makamba kwa kuwa hana sifa hizo zinazotakiwa. Makamu Mwenyekiti anapaswa kuwa ni mtu asiye na tamaa ya kuwa Rais ajaye
 
Umeingia chaka. Makamu Mwenyekiti wa CCM anapatikana tarehe 17-18 Janauari baada ya Kikao kijacho.

Wala hawezi kuwa Januari Makamba kwa kuwa hana sifa hizo zinazotakiwa. Makamu Mwenyekiti anapaswa kuwa ni mtu asiye na tamaa ya kuwa Rais ajaye
Hii habari imekuja lini? Unajua kwanini CCM wamekuja baada ya habari hii?
 
Hizi habar ni za kweli kabisa kutoka ndani ya vikao vya chama ila wahuni wameamua kuzivujisha Ili kumuharibia Makamba.

CCM Ndani Kunafuka moshi.
 
February ni nani?
 
Watu wanazipenda sana hizi draft
Mimi siijawahi kuwa mshabiki wa draft.
Zamani tulikuwa tunacjeza karata. Arba stini.
Nyumbani kwetu tulikuwa tunacgeza karata.
Mwalimu alikuwa anapenda sana kucheza karata.
Siku zile Tanganyika) Tanzania mxhezi wa karata ulikuwa anuwai( universal).
Halafu mchezonukiisha Mwalimu anasema,"Lakini pale,kama wewe ungecheza karata hii,yule angecheza karata hii,na mimi ningecheza karata hii, halafu huu mchezo tungeshinda "
Sasa nataka nianze tena kucheza karata.
Hizi karata siyo kabisa yunavyozifikiria. Hizi karata ni kama Tarot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…