January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

Hata nyumbu wana kiongozi wao wanayemuona ana akili sana
 

Ni kweli kama mama yako alibakwa na kichaa , na ukamjua baba yako ni yule kichaa wa pale ubungo mataa...lazima hao uwaone miungu kwako

Acha ujinga wa kuhusudu watu hivyo
 
Makamba ni hatari kuliko hatari yenyewe. Anautafuta urasi kwa nguvu mno. Halafu msimamo wake haujulikani. Kazi ni kutumia fedha tu ili watu wampe promo.
Naona mama kamkaribisha adui yake nyumbani kwake.
 
Naona mama kamkaribisha adui yake nyumbani kwake.
Pia inawezekana lao ni moja. Asipogombea 2025 anaweza kutumia mbinu kumpitisha. Mimi hata hili la mama kusema 2025 ni zamu ya wanawake nalichukulia kwa tahadhari sana. Anaweza kuwa anapoteza watu watu maboya tu.
 
Kuna wengine umewaweka apo ili kupata supoti ya kumsifia ulie msifia.....! Bata awezi kuzaa na kuku...

Tuambie uyo JR amefanya lipi la msingi njii hii.....! Mwambie kwanza amalizie bwawa letu
Alichofanya team ya ushindi ya wanakijani🏃
 
Pia inawezekana lao ni moja. Asipogombea 2025 anaweza kutumia mbinu kumpitisha. Mimi hata hili la mama kusema 2025 ni zamu ya wanawake nalichukulia kwa tahadhari sana. Anaweza kuwa anapoteza watu watu maboya tu.
Hatakiwi kuongoza kwa uoga maana tayari yeye ndiye kinara
 
Nilifungua nikijua unajipigia debe makamba mwenyewe sema hao Kama wa kusindikiza ili asionekane Kama unajifagilia mwenyewe
 
Hata hivo Makamba hakuzaliwa TZ, alizaliwa Marekani.
 
watu wengi hawaelewi kuwa January alishawahi kufanya kazi au intenship ofisi ya rais wa marekani, Jimmy carter. yupo vizuri upstairs.
 
Unaweza kuwa na Hoja nzuri,Lakini huko ni kudhalilisha Utaifa wako_wetu
 
Sijaelewa mkuu yaani January makamba anakaa meza moja na Prof Assad, lisu zito nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…