January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

Mtoe Kila January kwenye kundi la watu wenye akili kwanza
 
Kwa hiyo mkuu unataka bongo wazaliwe wajinga pekee?
cc Ndugai
 
Kamati kuu walituletea balaa lille
 
Sina ugomvi na Makamba lakini elewa kuwa huyu jamaa analoliongea siyo analolitenda ndiyo huyu alikuwa mwqndishi mzr wa hotuba za Kikwete zenye maneno matamu lakini utekelezaji wake ni zero
 
Wewe sijui unaandika nini hii sasa!
Huyo Makamba ana akili gani sasa? Hamna kitu humo, hamna!
Nepotism,cronyism zinambeba! Ana tuhuma za kuiba mitihani!

Halafu usiwe popoma, uwezo wa akili ya mtu haupimwi kwa hotuba za kampeni ya kampeni za kuomba ridhaa.
 
Kama wewe unaona hao watu eti wana akili hadi wasingestahili kuzaliwa afrika, basi wewe ni mtu mjinga sana ndi maana unaona hao kidomodomo wanasema mambo ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…