January Makamba na jumba bovu

Kama alifikiria kazi ya kusema utawala wa awamu ya tano ndio utampa sifa amekosea. Ahangaike katika kupata majawabu ya kutatua changamoto zinazotukabili bila kuwa mateso kwetu.
Excuses za kutunga kama wote ni mazuzu hazikubaliki. Tunataka umeme sio porojo
 
huo URAIS hataupata mpaka ana kwenda kuzimu
 
1. Is it scheduled maintenance or
2. Power rationing due to drought
3. At some point we were made to believe that, TANESCO was producing additional 350MW which was unutilised.... now we are again told there is a deficit of around 350 MW due to drought. I see that we need to run normal ( without power shade ) as the difference is production is exactly what was idle.
 
Kaka wewe si ndo huwa uko mstari wa mbele kuponda kila kitu Cha Mwendazake mpk wateuzi wake uliwaita washamba, leo tena Na hawa wa Hangaya huwataki sijui unataka nini?
Niko huru kupongeza na kukosoa na kuponda nisicho lidhika nacho.

Mimi siyo fuata upepo
 
Makamba amefeli kwa kutaka ku mprove wrong magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kalemani,lakini pia kwa mamlaka za uteuzi kumbuka kuwa Kuna wizara za Utendaji na wizara za kisiasa,kwa makamba siyo mtendaji Bali Ni mwanasiasa ataendelea kufeli na atafeli vibaya mnooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,mama Samia mwondoe january haraka Sana kabla hajakuchafua we we binafsi na utawala wako
 
Mkumbuke tu kuna very strong cabals, na hizi ndio mtaji wa wanasiasa wenye uchu wa madaraka.

Pia, tuangalie nyuma kidogo kwa kutathimini mienendo ya watu wetu wa karibu - ikiwa yuko aliyechukua thumuni ya mnyonge kwa maslahi binafsi bila kuwa na huruma na huyo mnyonge, basi tujue kuwa hii ndio order of life kwa kundi nzima au familia ya ndege warukao pamoja
 
magufuli alipoondoka na mvua nayo ikaondoka!
 
Makamba usingeikubali hii wizara from beginning, ni kweli sasa umeangushiwa Jumba Bovu. Pole sana !!
 
Kweli mkuu, imefikia hatua statement ya Kambi ya Kalemani na hii ya January kuhusu Umeme wote si wa kuamini. Ni kazi kubwa sana kuiamini hii serikali kwa statement zake.
Mtu anawekewa mzigo wa kutosha
 
Wote wapigaji tu hakuna mwenye nia njema na wananchi

Kumbuka huyu ni protege' wa Kikwete hivyo yale yote ya boss wake yaliyofutwa na JIWE ikiwemo kumrudisha ISSA wa BEST RESULTS NOW anayarudisha!! Vasco Dagama alikuwa mpigaji asiye na aibu!!
 
Kumbuka huyu ni protege' wa Kikwete hivyo yale yote ya boss wake yaliyofutwa na JIWE ikiwemo kumrudisha ISSA wa BEST RESULTS NOW anayarudisha!! Vasco Dagama alikuwa mpigaji asiye na aibu!!
Ndani ya CCM hakuna msafi
 
All this because of lack of strong INSTITUTIONS; na ndio maana wanapinga Kuwa na katiba ya Wananchi kwasababu hue ujinga wao wote utakomeshwa!!
 
Kelemani alishafisadi tanesco
Rais Samia sio mjinga
Ningekuwa mimi ningemwachia aendelee kuifisadi tuone kama umeme ungekatika...Sasa ameonekana hero kwakua ghafla tu tumeingia kwenye sintofahamu...Sijui tutamsemaje ufisadi wake yumkini hata mahakamani hatujampeleka...
 
Mvua zitanyesha wiki ijayo , wabongo kuweni na subira, mgao mwezi mmoja mshaona kama dunia imeisha,,
Idara ya hali ya hewa ilitangaza wazi kuwa mvua zitapungua,, haliwezi kuwa kosa la january,,, tungeendeleza mradi wa umeme wa gesi hili tatizo lisingetukuta,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…