Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Na maji pia!Miaka 60 ya Uhuru Tanzania hatuna umeme ,kweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na maji pia!Miaka 60 ya Uhuru Tanzania hatuna umeme ,kweli!!
Kama alifikiria kazi ya kusema utawala wa awamu ya tano ndio utampa sifa amekosea. Ahangaike katika kupata majawabu ya kutatua changamoto zinazotukabili bila kuwa mateso kwetu.Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.
Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.
Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.
Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.
Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.
Nawasilisha
Kwakweli siwezi kutabiri akili ya kilaza.Sasa atamuacha huyu waziri wa Nishati aendelee kutibua hadi lini?
huo URAIS hataupata mpaka ana kwenda kuzimuKama alifikiria kazi ya kusema utawala wa awamu ya tano ndio utampa sifa amekosea. Ahangaike katika kupata majawabu ya kutatua changamoto zinazotukabili bila kuwa mateso kwetu.
Excuses za kutunga kama wote ni mazuzu hazikubaliki. Tunataka umeme sio porojo
Hatumtaki na hafai kabisa kwani hiyo wizara imemshinda.
1. Is it scheduled maintenance orNimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.
Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.
Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.
Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.
Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.
Nawasilisha
Niko huru kupongeza na kukosoa na kuponda nisicho lidhika nacho.Kaka wewe si ndo huwa uko mstari wa mbele kuponda kila kitu Cha Mwendazake mpk wateuzi wake uliwaita washamba, leo tena Na hawa wa Hangaya huwataki sijui unataka nini?
Mkumbuke tu kuna very strong cabals, na hizi ndio mtaji wa wanasiasa wenye uchu wa madaraka.Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.
Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.
Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.
Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.
Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.
Nawasilisha
magufuli alipoondoka na mvua nayo ikaondoka!Huo ndio ukweli, sababu zilizo nje ya uwezo wake ndio hasa zinazo mkwamisha, Mvua zimegoma kunyesha, na nchi yetu inatumia umeme wa mabwawa ya maji kwa kiasi kikubwa, na hayo marekebisho, mfano morogoro tanesco pale msamvu kuna kituo cha kupooza umeme ambacho kina changamoto mara kwa mara na kusababisha shida ya huduma
Kweli mkuu, imefikia hatua statement ya Kambi ya Kalemani na hii ya January kuhusu Umeme wote si wa kuamini. Ni kazi kubwa sana kuiamini hii serikali kwa statement zake.CCM wote wapiga dili hakuna wa maana
Mtu anawekewa mzigo wa kutoshaKweli mkuu, imefikia hatua statement ya Kambi ya Kalemani na hii ya January kuhusu Umeme wote si wa kuamini. Ni kazi kubwa sana kuiamini hii serikali kwa statement zake.
Wote wapigaji tu hakuna mwenye nia njema na wananchi
Ndani ya CCM hakuna msafiKumbuka huyu ni protege' wa Kikwete hivyo yale yote ya boss wake yaliyofutwa na JIWE ikiwemo kumrudisha ISSA wa BEST RESULTS NOW anayarudisha!! Vasco Dagama alikuwa mpigaji asiye na aibu!!
All this because of lack of strong INSTITUTIONS; na ndio maana wanapinga Kuwa na katiba ya Wananchi kwasababu hue ujinga wao wote utakomeshwa!!Tatizo wanasiasa wanakurupuka kubadilisha watu bila kuwauliza wataalamu mitazamo yao kuhusu hali na ufanisi wa shirika na kitu gani wanapendekeza..........akiingia huyu anataka aweke timu yake, akiingia yule naye aweke timu yake, yaani ni shaghalabaghala.....
Ningekuwa mimi ningemwachia aendelee kuifisadi tuone kama umeme ungekatika...Sasa ameonekana hero kwakua ghafla tu tumeingia kwenye sintofahamu...Sijui tutamsemaje ufisadi wake yumkini hata mahakamani hatujampeleka...Kelemani alishafisadi tanesco
Rais Samia sio mjinga
Mvua zitanyesha wiki ijayo , wabongo kuweni na subira, mgao mwezi mmoja mshaona kama dunia imeisha,,Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.
Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.
Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.
Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.
Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.
Nawasilisha
🤣🤣🤣 Yupi wakutuachia kumbukumbu nzuri huyu mzululaji akiona tatizo anakimbilia nje ya nchiUkisema hivyo unamaanisha hata Rais? Mbona Mama anaonesha dhamira ya kutuachia kumbukumbu nzuri.