January Makamba njoo CHADEMA uwe mgombea urais mwaka 2020

Mtoa mada anajitekenya na kucheka mwenyewe
Kisha anamalizia na cha kati. Asituletee kebehi sisi, tunachotaka January Makamba , Kinana na Nape ili mioyo yao iwe huru ni kutuletea matokeo halisi ya 2015 kama walivyo yapokea pale Masaki.
Maana tumechoka na mwizi wa kura, kuiba aibe yeye na ukatili afanye yeye. Au Hao kina January hawakumtaarifu kuwa kwenye kura alipigwa chini?
 
Mpuuzi mmoja wewe
 
Usisahau kua pia alikua miongoni mwa waliosimamia bao la mkono 2015.
 
Kitendo cha CDM kumkubali Lowassa na kumpa agombee urais ilikua proof tosha kua na wao nao ni ovyo sawa na CCM yenyewe tu, kumchukua mwizi alafu wanamsafisha kisa walidhani watapata kura ni utako wa hali ya juu. Uchama ni tatizo kubwa sana Tanzania, watu wangepunguza kufocus kwenye uuzaji sura na kufocus kwenye mambo ya msingi tusingekua hapa tulipo.
 
Bavichaa hawawezi kusoma hapa
 
Makamba ataondoka CCM tu kama atafukuzwa. Kitu ambacho sidhani kama kitatokea ........ Na kama ikitokea destination itakuwa ni ACT kwa rafiki yake kipenzi!!
 
Vijana wa Lumumba huwa mnaliwa sana mmekua mapoyoyo.
 
Chadema hapo ndiyo watakuwa wanafail,kwanini wasifanye recruitment wenyewe ya candidate wao? Kama hawajifunzi kutokana na makosa acha wamchukue.
 
Mwezi wa kwanza, akijisikia kuhama sisiemu, atahamia ACT _ Wazalendo wa rafiki yake Zitto ambaye walisoma wote Kigoma Sekondari, lakini pia wana abudu pamoja nammanisha dini yao ni moja
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Mgombea urais wa chadema 2020 ni TL acha kuota
 
ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…