January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

Kila mtu anashangaa kwenye suala la mafuta, serikali, wabunge na wananchi. Mm ninachoshangaa zaid ni huyu jamaa kuendelea kuwa waziri kikawaida tu angetakiwa ajiuzulu hyo nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Vilaza ndiyo wanamwona kama ana akili ila kwa wenye akili huyu ni hovyo kabisa. Na CCM ilivyo ya hovyo watu kama Membe, huyu jamaa ndiyo walikuwa kwenye tano bora za urais! Kweli nchi yetu ni aibu tupu.
 
Waziri kipofu asiona mbali utamjua tu kwa kauli zake, huyu ni mfano halisi.
 
Kwanini Zanzibar bei ya mafuta ipo chini kuliko bei ya huku bara!?.

Au, Zanzibar wanazalisha mafuta.

January, unakipara kama helmet.
Mbona hata mishahara ya zanziba ipo chini kuliko bara na hili hamlioni?
 
Sukuma gang kaa kwa kutulia wakati dhalimu tunampa ukweli wake. Shetani anatakiwa atajwe kila mara.
Na hali itaendelea kuwaendea kombo hamna umakini ktk kudhibiti mfumuko wa bei.Kazi kuvaa tai za nembo ya taifa.Aida Leo kaleta jambo lake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ile ishu ya kukataza mifuko ilimpa Credit sana ila daah jamaa mweupe sanaa kichwani
Alipigwa presha.
 
Kwa hiyo ndo maana ameshindwa kujaza maji kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere, umene umekuwa wa mafungu mafungu na hii imepelekea wajasiriamali kukosa mapato!
 
Hakuna short cut hapa zaidi kupunguza kodi au tozo.
Kinachotakiwa in long term ni
Kujenga au kuimarisha storage capacities za white products.
Kujenga Refinery yetu kule Tanga ili tutumie mafuta ghafi yatokayo Uganda.
Kupanua wigo wa matumizi ya gesi asilia.
Kuongeza juhudi mara dufu utafutaji wa mafuta nchini.
Kuwa na meli zetu wenyewe kama tatu kubwa za kubeba mafuta na LNG
 
Kwa watu wanaemjua huyu kipara ngoto wanasema hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10, ila bado anaaminiwa na kupewa uwaziri madhara yake ndio haya
 
January were ndio Waziri wa Nishati usitake kujificha kuwa serikali inatoa Majibu Sio Waziri!! Waziri ndio msemaji Mkuu wa wizara husika kwa niaba ya serikali. Sijui Huko George Mason wale mapadre walikufanya nini; you do not seem to get it!! Hakuna serikali yenye waziri mwenye weledi itatamka kuwa NCHI YETU HAIZALISHI MAFUTA ndio maana bei zinapanda namna hiyo!!! Nigeria inazalisha Mafuta Lakini wana matatizo kama sisi hivyo kuzalisha Mafuta sio suluhisho bali ni sera zinavyotekelezwa na nchi!!
Unataka uwazi utuwekee sera za kushusha bei ya mafuta?

Kwa maelezo tuu haya unaonekana wewe ni dishi tena dishi chakavu..

Hakuna kitu au sera Waziri anajiamulia bali wataalamu wakikaa wakapendekeza zinapitiwa na wadau,zinaenda Baraza la Mawaziri na mwisho Bungeni kabla ya kutumika rasmi na kama ni sheria lazima Rais aisaini..

Kwa hiyo hizo zilizoko kwenye mafuta ni January aliweka sio? Kama ni kwa nini asitamke leo nimezifuta..kibuyu wewe..Tanzania haizalishi mafuta.
 
Naona upinzani umetulia Sana hasa chadema ukisubiria wananchi tuchukue hatua wenyewe.
 
Unataka uwazi utuwekee sera za kushusha bei ya mafuta?

Kwa maelezo tuu haya unaonekana wewe ni dishi tena dishi chakavu..

Hakuna kitu au sera Waziri anajiamulia bali wataalamu wakikaa wakapendekeza zinapitiwa na wadau,zinaenda Baraza la Mawaziri na mwisho Bungeni kabla ya kutumika rasmi na kama ni sheria lazima Rais aisaini..

Kwa hiyo hizo zilizoko kwenye mafuta ni January aliweka sio? Kama ni kwa nini asitamke leo nimezifuta..kibuyu wewe..Tanzania haizalishi mafuta.

Leo wewe bwabwa kwani ndio umejua process hiyo? The idea kwa hao wataalam lazima ianzie from someone na kama hiyo wizara ina Waziri mahiri hizo ideas zinaanzia kwake ndio zinakwenda kwa wahusika wengine but they have to originate from someone!! Ndio maana wakati ule January alipoondoa shilingi mia moja that was his dumb idea!! He has no ideas to help with this problem because he stupidly believes that we shall live with this problem until the country starts dilling its own oil!! Try to be creative you SOB.
 
Achia ngazi huna tija ujawahi lala njaa uyajui maisha ya watz.
 
Serikali inafaa izipeleke likizo tozo zingine za mafuta Ili yashuke bei
 
Leo wewe bwabwa kwani ndio umejua process hiyo? The idea kwa hao wataalam lazima ianzie from someone na kama hiyo wizara ina Waziri mahiri hizo ideas zinaanzia kwake ndio zinakwenda kwa wahusika wengine but they have to originate from someone!! Ndio maana wakati ule January alipoondoa shilingi mia moja that was his dumb idea!! He has no ideas to help with this problem because he stupidly believes that we shall live with this problem until the country starts dilling its own oil!! Try to be creative you SOB.
Toa ujinga wako hapa
 
Back
Top Bottom