ACHIA UWAZIRI, tuwabadili Hadi tutakapopata mwenye majibu ya maswali yetu.Kila mtu anashangaa kwenye suala la mafuta, serikali, wabunge na wananchi. Mm ninachoshangaa zaid ni huyu jamaa kuendelea kuwa waziri kikawaida tu angetakiwa ajiuzulu hyo nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilaza ndiyo wanamwona kama ana akili ila kwa wenye akili huyu ni hovyo kabisa. Na CCM ilivyo ya hovyo watu kama Membe, huyu jamaa ndiyo walikuwa kwenye tano bora za urais! Kweli nchi yetu ni aibu tupu.Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Mbona hata mishahara ya zanziba ipo chini kuliko bara na hili hamlioni?Kwanini Zanzibar bei ya mafuta ipo chini kuliko bei ya huku bara!?.
Au, Zanzibar wanazalisha mafuta.
January, unakipara kama helmet.
Na hali itaendelea kuwaendea kombo hamna umakini ktk kudhibiti mfumuko wa bei.Kazi kuvaa tai za nembo ya taifa.Aida Leo kaleta jambo lakeSukuma gang kaa kwa kutulia wakati dhalimu tunampa ukweli wake. Shetani anatakiwa atajwe kila mara.
Waziri sio lazima awe na uwezo wa kubeba cranes. Yeye ni kiongozi tu chini yake kuna wataalam wengi tu.
Failure yake ni failure ya hao wataalam na aliyewateua.
Ndio ataweka historia ya Rais aliyefeli form 4.Hizo ndoto anazo kitambo sana...
Kenge ge wa blueKuna kipindi Niliwahi Fikiria Januar anaweza kuwa Rais wa nchi hii.. Mungu anisamehee zilikuwa ni Bhangiii wakuu.
Alipigwa presha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ile ishu ya kukataza mifuko ilimpa Credit sana ila daah jamaa mweupe sanaa kichwani
Unataka uwazi utuwekee sera za kushusha bei ya mafuta?January were ndio Waziri wa Nishati usitake kujificha kuwa serikali inatoa Majibu Sio Waziri!! Waziri ndio msemaji Mkuu wa wizara husika kwa niaba ya serikali. Sijui Huko George Mason wale mapadre walikufanya nini; you do not seem to get it!! Hakuna serikali yenye waziri mwenye weledi itatamka kuwa NCHI YETU HAIZALISHI MAFUTA ndio maana bei zinapanda namna hiyo!!! Nigeria inazalisha Mafuta Lakini wana matatizo kama sisi hivyo kuzalisha Mafuta sio suluhisho bali ni sera zinavyotekelezwa na nchi!!
Unataka uwazi utuwekee sera za kushusha bei ya mafuta?
Kwa maelezo tuu haya unaonekana wewe ni dishi tena dishi chakavu..
Hakuna kitu au sera Waziri anajiamulia bali wataalamu wakikaa wakapendekeza zinapitiwa na wadau,zinaenda Baraza la Mawaziri na mwisho Bungeni kabla ya kutumika rasmi na kama ni sheria lazima Rais aisaini..
Kwa hiyo hizo zilizoko kwenye mafuta ni January aliweka sio? Kama ni kwa nini asitamke leo nimezifuta..kibuyu wewe..Tanzania haizalishi mafuta.
Toa ujinga wako hapaLeo wewe bwabwa kwani ndio umejua process hiyo? The idea kwa hao wataalam lazima ianzie from someone na kama hiyo wizara ina Waziri mahiri hizo ideas zinaanzia kwake ndio zinakwenda kwa wahusika wengine but they have to originate from someone!! Ndio maana wakati ule January alipoondoa shilingi mia moja that was his dumb idea!! He has no ideas to help with this problem because he stupidly believes that we shall live with this problem until the country starts dilling its own oil!! Try to be creative you SOB.