January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

Lazima wasubiri kwani ni vigumu shirika kununua vifaa kwa gharama ya zaidi ya tzs 150,000 halafu ufungie mteja kwa tzs 27,000/- kalagabaho
Bilioni 70 za kuwalipa Management ya kukodi ya wahindi zinatoka wapi pale Tanesco. Kwa kweli Tanzania Tunapigwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tanesco wanatengeneza mazingira ya kupiga hela ,mita Tanesco zipo.
 
Siyo kwamba TANESCO hawana nguzo na mita nchi nzima ila mahitaji ni makubwa mno wanashindwa kuhimili kwa wakati
 
Utawala wa kishenzi wa Magu umeleta matokeo mabaya sana. Tumerudi nyuma miaka 20. Haya ya leo ni matokeo.
Mbona sikuelewi rafiki wakati wa Magu wateja waliunganishiwa umeme kwa shilingi 27,000 tu na nguzo zilikuwepo, mita zilikuwepo na vijiji vingi vina umeme. Kwa makamba Hali ni tofauti.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Ilikuwaje ikawezekana
 
Tuache kuwatisha watu lawama. Rais MagufuliJP alisema watu wa vijijini tu ndo umeme 27000. Mama alipofika pale bungeni alisema nchi nzima umeme 27,000 kasoro Dar es Salaam tu. Wala hakuwa kelemani. Mbona mnapenda kuhamisha matatizo ndugu zanguni dah. Tuache chuki basi.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ndio siasa ilitufikisha huko mkuu, hiyo gharama ya tzs 27,00 ni siasa tupu na uhalisia haupo hivyo na tanesco wanashindwa kutekeleza
Huelewi hata ALU kwa bei ya kawaida ni Tsh 12000 lakini serikali inauza maximu 2000 kwanini serikali inafanya top up kwaajili ya kurahisisha maisha kwa watu wake. So kusema kuingiza umeme ni 27,000 haimaanishi kuwa tanesco wanalipwa hiyo inamaana kuna ruzuku kutoka serikalini zinatolewa ili kucover hiyo deficit. Ila hatutaki kuelewa. Mbona kipindi cha MagufuliJP yalikuwa yanawezekana tu na walikuwa wanatoa hadi gawiwo?? Nini kinashindikana leo

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Acha ukilaza, hilo ni shirika la uma na linapata luzuku toka seriakalini hivyo kiasi flan kilikuwa kinafidiwa na kodi za wananchi
 
Mimi niko kwenye foleni toka mwezi wa nane nasubiria mita ya 3 phase nikiwauliza wananiambia hawajui zitakuja lini
 
Mnaacha kutatua matatizo mnaleta lawama kwa wengine!
 
Mita hakuna,nguzo hakuna ila wanatia $30m kuweka mifumo ya blah blah smh!
 
Huo ni uongo, manguzo yamejaa kila mahali, kama Kinyerezi kule zimejaa hata pakuyaweka hamna
 
Utawala wa kishenzi wa Magu umeleta matokeo mabaya sana. Tumerudi nyuma miaka 20. Haya ya leo ni matokeo.
Wezi, wala rushwa, mafisadi ndiyo wanaomtukana mwana Mwema wa Africa. Ila Wapenda haki masikini na wanyonge tunamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…