January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

Hivi Tanesco wanatoa umeme bure ama wanauza? N:B Niliapply umeme mwaka huu na nilishafungiwa. Niko Arusha jiji.
 
27,000/- ilikuwa maneno tu
Mtaa ninapoishi tumeungiwa umeme watu wengi tu hakuna hata mmoja aliyelipa hiyo 27,000/-
 
unaongelea nguzo gani maana sasahivi kuna mradi wa nguzo za sement zipo kibawwo mitaani zimemwagwa hazijasimamishwa bado na huko kiwandani bagamoyo mzigo umifurika sasa sijui unaongelea ngozo z wapi na pia nguzo kwa sasa haziuzwi
 
Mbona nguzo nimeziona Morogoro nyingi tu mkuu,hii si kweli.
 
Sikia bwanamdogo!

Kuna watu wamelipia kwa garama za 350,000 na bado hawapati umeme!
ukienda branchi ya tanesco chanika, unaambiwa kabisa, lipa 27k usubiri mwaka na zaidi kuunganishiwa
lipa 321k usubiri miezi mitatu kuunganishiwa
 
January atajuta kuifahamu hiyo wizara. Na alivyo kimbaumbau atazidi kukauka
 
Pigia mameneja wa tanesco wafuatao waulize kama wanazo nguzo na meta 1. 0784-422884
2. 0784-390625
3. 0682-304430
Wakikuambia zipo ingia in box nakupatia 1, 000,000 Tsh
Mimi sijali wanasema nini, mimi najali kile ninachoona, niwaulize wakati naona kwa macho yangu?
 
ukienda branchi ya tanesco chanika, unaambiwa kabisa, lipa 27k usubiri mwaka na zaidi kuunganishiwa
lipa 321k usubiri miezi mitatu kuunganishiwa
Hiyo 321 ujue pana hela yao hapo!.

.
 
Mbona wakati wa magufuri na kikiwtete REA ilikiwa 27000 ..sasa shida ninini?
 
Acha upompoma serikali ilitoa ruzuku kwa tanesco kufanikisha hilo..hii wizara tayari imekaliwa na vilaza wapiga dili..ndio mana mambo hayaendi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigia mameneja wa tanesco wafuatao waulize kama wanazo nguzo na meta 1. 0784-422884
2. 0784-390625
3. 0682-304430
Wakikuambia zipo ingia in box nakupatia 1, 000,000 Tsh
Brother Hawa Ni wa Mkoa gani . Mbona hapa nilopo Dodoma nguzo zipo au njoo uombeee umeme Dodoma haha
 
Magufuli alisema mtanikumbuka na sasa kweli tunamkumbuka mapema mno!
tutamkumbuka atakaye weka na kuacha misingi itakayowaweka watendaji wapumbavu gerezani kama ilivyo kwa wanaowapa mimba wanafunzi.
 
Sukuma gang

Makamba anawasumbua sana mimi nipo tanesco toka huyo msukuma wenu aropoke watu wafunguwe uneme kwa 27000 tanesco walikuwa wanawapimia watu lakini hawakuweza kuwafungia watu mita


Huu ulkuwa mzigo mzito kwa tanesco, mpaka january Mak anaingia madarakani kulikuwa na pending za muita 84000 plus

Acheni siasa za chuki na ujinga ujinga naona mlitaka wasukuma wote ndio wawe kwenye baraza la Mawaziri
 
Bunge lipi?.
 
Acheni ujinga kila siku makamba makamba shida nini?
 
Miradi ya umeme inabe funded na donors, hizo hela zinakwenda wapi? Hayo ndio matumizi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…