January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Jibu swali la msingi kwamba:-
Je, uchakavu ulisubiri makamba na bodi yake waingie ndipo ulete madhara??

Kama ni scheduled maintenance kwanini hawatangazi na badala yake wanakata kiholela??

Stop blaming others for your own incompetence.
 
We nae uko kama chizi. I doubt kama mzima kichwani wewe maana unajiharishia hovyo! Mhhh
 
Duh engineer

Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.

Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
Mkuu, hawa watu wanajua akili za watanzania walio wengi. Magufuli alishafariki na sasa wanajificha kwenye kichaka cha kurebisha yaliyoharibiwa na awamu yake ya tano.
 
Nina viwanda,nalipia umeme mkubwa mtaani wenu woote luku zenu put together

Kwanza ni vyema Tanesco waje wang'oe mitambo kwenye hicho kimtaa chenu mkae giza maana hamna maana mnaleta hasara tu

Useless people
Output ya kiwanda chako utatumia mwenyewe siyo. Usisahau kuwaweka vibarua ambao ni marobot
 
Engineering gani mnafanya maintenance bila mpangilio. Unatofauti gani na ambaye hajasoma kabisa
 
Kwahiyo muda wote ni WA kufanya maintenance bila kufanya operation yoyote
 
TOA MAJIBU SIO KUNANGA WATU...UNAANZA MAZOEA...SHIDA HII MITOTO YA VIONGOZI INA VIBURI VIBURI....HAVINA TIJA KWETU
 
Ndio maana ccm inajifanyiaga inachotaka kumbe watu wenyewe ni mataahira namna hii?

Na kwa akili zenu hizi mtatawaliwa sana hadi mkome.
 
Hoja mama ni ipi . Mtu ambaye ana support umeme kukatwa bila mpangilio halafu unasema una kiwanda. Huu kama siyo upunguani ni nini. Kwahiyo uko radhi kuingia gharama zisizo na ulazima kwa kukatiwa umeme bila taarifa
 
Wewe mpumbavu kweli. Kumbe unapenda watu watumie bidhaa zako za huko viwandani( hapo ni kama kweli una kiwanda) wakati huo huo hutaki watumie umeme kwasababu wanalipa kidogo ukilinganisha na wewe.
 
Acha utaahira wewe

Hamna umeme unakatwa bila tangazo maalumu kwenye radio au TV

Shida wakati huo upo baa unalewa mataputapu halafu leo unakuja humu kuongea nonsense

Kafie huko
Kwahiyo kwa utahira wako unaona redio zifanye kazi yakutangaza tu umeme kukatika. Kama kasehemu kadogo tu umeme unakatika mara kwa mara, kwa Tanzania nzima kwa siku moja utakatika mara ngapi
 
Tatizo Lenu nyingi mataira wa kushabikia vyama hamtaki Mambo yafanywe na mtu wa Chama kingine tofauti na Chama chako
 
Unataka uandikiwe barua maalumu?

Au upigiwe simu?

Au uandikiwe SMS?

Wanakuomba matako kwani?

Husikilizi redio au TV thats your own problem,hawawajibi na wewe zaidi ya hapo!

Wanafanya maintenance ni lazima wazime,hutaki kafie huko Burundi!
Kwahiyo wewe ukiona wametangaza mara moja huku wamekata zaidi ya mara elfu moja unaona kabisa wametangaza. Huo utahira wako utabaki nao hivyo hivyo.
 
Itabadili kwa akili hizi za kitaahira?

Kama unageuka kuwa mtetezi wa hao kina Makamba wewe si ni taahira?

Uzi mzima ni wewe tu unamtetea Makamba kwamba tz hii ni halali kukatwa umeme kisa repair huo siyo utaahira?
Ndio akili za kuibadili ccm hizi?

Huko Marekani uliko wanakata umeme na kusimamisha uzalishaji ili wafanye repair za mitambo?
Eti vifaa ni gharama, unataka wakuvigharamikia hivyo vifaa awe nani?

Kwa umsukule wako huu sahau ccm kutoka madarakani, na itaendelea kukutandika uchaguzi hadi uchaguzi maana hujielewi.
 
Weka hata tangazo moja kwa uthibitisho kwamba wanatangaza , kwa schedule Yao ya wiki hii Tanzania nzima ili nione kama sehemu nayokaa wameweka kwenye tangazo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…