Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae uko kama chizi. I doubt kama mzima kichwani wewe maana unajiharishia hovyo! MhhhUnaota
Kila siku kila mwanasiasa anajiongeleaga mavi anayojisikia
Eti "siku moja umeme urudi".....
Kila siku wanaongea hivyo...na mitambo inalipuka kila siku na umeme unazima kila siku....hizo kauli zimesaidia umeme usikatike popote?
Magufuli yeye alifanya ujinga wa kusema "hakuna maitenance"...maana alikua anajenga bomu matakoni mwake..ilikua ni siku tu
Wewe hufanyi maintenance kwa miaka mitano..ulitegemea mitambo itakua imara miaka yote tu kama tuko mbinguni vile?
Yule punguani alikua anasubiria bomu lilipuke tu
Punguzeni utaaahira
KICHEFUCHEFU KITUPU.
JANUARY AACHE KUMZUNGUMZIA RAIS WETU TUNAEMPENDA SANA JAPO HAYUPO.
ASIJITETEA KAZI IMEMSHAMSHINDA 😕
Mkuu, hawa watu wanajua akili za watanzania walio wengi. Magufuli alishafariki na sasa wanajificha kwenye kichaka cha kurebisha yaliyoharibiwa na awamu yake ya tano.Duh engineer
Machine zina maintenance schedule, usipofanya repair hata rais awe kiduku zitazingua tu.
Machine hazijafanyiwa maintenance ndani ya miaka mitano? Nazo ziliogopa zikapiga kazi?
Output ya kiwanda chako utatumia mwenyewe siyo. Usisahau kuwaweka vibarua ambao ni marobotNina viwanda,nalipia umeme mkubwa mtaani wenu woote luku zenu put together
Kwanza ni vyema Tanesco waje wang'oe mitambo kwenye hicho kimtaa chenu mkae giza maana hamna maana mnaleta hasara tu
Useless people
Engineering gani mnafanya maintenance bila mpangilio. Unatofauti gani na ambaye hajasoma kabisaMimi namchukia Magufuli nyie mnamchukia Makamba
Yaani unalalamikia kosa nalofanya wakati wewe unalirudia hilo hilo,wewe ni nani kama sio taahira?
Magufuli ni hewa kama ulivyo wewe na wenzako..useless!
Mpo hapa mnabishana na FACTS za engineering...what a bunch of clowns!
Yale yale ya yule taahira "Mungu kasema hakuna korona"..Mbuzi nyie!
Kwahiyo muda wote ni WA kufanya maintenance bila kufanya operation yoyoteFACT is,miundombinu ya Tanesco haikufanyiwa deep maintenance kwa miaka 6!
Hiyo ni kuanzia Generation,Transmission na Distribution mitaani huko
Kisa?Magufuli alisema HAKUNA,mtazima umeme,SITAKI!
Ili wasifukuzwe,wakasema sawa,achana nayo,wakaa ofisini wanasubiri ije ilipuke tu..
Bahati nzuri yule taahira KAFA...wamekuja wenye akili,maintenance zimeanza!
Sasa mnataka muambiwe were bin were mzungu kala makamasi ...Magufuli anaozea huko makaburini,mfateni!
TOA MAJIBU SIO KUNANGA WATU...UNAANZA MAZOEA...SHIDA HII MITOTO YA VIONGOZI INA VIBURI VIBURI....HAVINA TIJA KWETULeo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.
Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.
Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.
Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.
Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?
Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.
Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.
Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.
View attachment 1990619
View attachment 1990620
Hiyo CCM watakuongoza Hadi utarudi mavumbiniWote hawana la maana
Wapo lowly kama wewe
CCM hivi kuna mtu alishawahi kua na akili hata mmoj?
Yule mfu anaeoza ndio alikua wa Mirembe kabisa!
Ndio maana ccm inajifanyiaga inachotaka kumbe watu wenyewe ni mataahira namna hii?Taahira ni wewe unaedhani umeme unakatika tu bila sababu kwa sababu ubongo wako umekupa picha bila kuwauliza wahusika wenyewe ambao ni Tanesco
Unachokuja nacho hapa ni results za ubongo wako kufikiria ya kufikirika bila kuwauliza wahusika wakakupa majibu au wewe mwenywe ufanye uchunguzi wako maalumu
Sio unakuja tu unaona umeme hakuna unaweka mapumbu getini kwako unaanza kupitisha judgements kutoka kwenye ubongo wako binafsi
Taahira kabisa
Hoja mama ni ipi . Mtu ambaye ana support umeme kukatwa bila mpangilio halafu unasema una kiwanda. Huu kama siyo upunguani ni nini. Kwahiyo uko radhi kuingia gharama zisizo na ulazima kwa kukatiwa umeme bila taarifaPost yako hii naona haina uhusiano wowote na hoja zinazozungumziwa hapa
Which is a classical definition ya wewe ni punguani
Yaani unatoa post nzima hugusii hoja mama ya uzi huu,unatoa maneno yasiyohusika kabisa halafu unajiona wewe ni mzima kabisa?
Unaetoa post kuita wenye akili punguani ndio punguani hasa
Wewe mpumbavu kweli. Kumbe unapenda watu watumie bidhaa zako za huko viwandani( hapo ni kama kweli una kiwanda) wakati huo huo hutaki watumie umeme kwasababu wanalipa kidogo ukilinganisha na wewe.Kafie huko
Hii ni capitalist society,hutaki wewe wapo zaidi ya milioni wanaotaka the same work at even lower price
Kama unataka hii monopoly unayoisema hapa kama lunatic ni uue wanadamu wote duniani hapa ubaki wewe na labour power kiasi ukikataa siwezi pata labour popote pale
Viwananchi kama wewe ni vijitu fulani hivi vijinga sana
Yaani upo hapa unaona labour power wewe ndio una monopoly yake?
Acha bangi na pombe....ongea ukiwa sober!
Kwahiyo kwa utahira wako unaona redio zifanye kazi yakutangaza tu umeme kukatika. Kama kasehemu kadogo tu umeme unakatika mara kwa mara, kwa Tanzania nzima kwa siku moja utakatika mara ngapiAcha utaahira wewe
Hamna umeme unakatwa bila tangazo maalumu kwenye radio au TV
Shida wakati huo upo baa unalewa mataputapu halafu leo unakuja humu kuongea nonsense
Kafie huko
Tatizo Lenu nyingi mataira wa kushabikia vyama hamtaki Mambo yafanywe na mtu wa Chama kingine tofauti na Chama chakoCCM ni wewe na akina Makamba na Kalemani na yule taahira mfu mzoefu
Wote wapumbavu watupu wewe included
Chadema ndio itabadili hii nchi...na itabadili
Kaa na CCM yako na mimi nikae na Chadema yangu...
Tusibabaishane...
Niko hapa nazungumzia technical issues wewe upo humu unaongelea politics za maccm na theories za Magufuli
Hovyo kabisa..all of you inclusive!
Unabidhaa gani zaidi ya makalio yakoNimekuomba ununue bidhaa zangu wewe?
Huwezi nunua na siwezi kukuomba ununue
Acha kujipendekeza na bidhaa zisizo kuhusu....
Kwahiyo wewe ukiona wametangaza mara moja huku wamekata zaidi ya mara elfu moja unaona kabisa wametangaza. Huo utahira wako utabaki nao hivyo hivyo.Unataka uandikiwe barua maalumu?
Au upigiwe simu?
Au uandikiwe SMS?
Wanakuomba matako kwani?
Husikilizi redio au TV thats your own problem,hawawajibi na wewe zaidi ya hapo!
Wanafanya maintenance ni lazima wazime,hutaki kafie huko Burundi!
Itabadili kwa akili hizi za kitaahira?CCM ni wewe na akina Makamba na Kalemani na yule taahira mfu mzoefu
Wote wapumbavu watupu wewe included
Chadema ndio itabadili hii nchi...na itabadili
Kaa na CCM yako na mimi nikae na Chadema yangu...
Tusibabaishane...
Niko hapa nazungumzia technical issues wewe upo humu unaongelea politics za maccm na theories za Magufuli
Hovyo kabisa..all of you inclusive!
Weka hata tangazo moja kwa uthibitisho kwamba wanatangaza , kwa schedule Yao ya wiki hii Tanzania nzima ili nione kama sehemu nayokaa wameweka kwenye tangazo lao.Unachosema hapa si kweli
Na ni hatari sana kwa jitu zima kama wewe kudanganya
Hua wanatangaza kwa wiki...kazi zote za wiki na mahali pote patakapo athirika kwa wiki hiyo husika wanatangaza na kuzitaja na muda wake
Sasa wewe mpumbavu kuja na namba ya uongo ya "maelfu" tunakuona taahira kama Kingai tu,maana ni UONGO!
Kaka!Anaetakiwa kununua hivyo vifaa ili bibi yako kule kwa mtogole apate umeme ni nani wewe taahira?