January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi


Dummy ni wewe na huyo clone mwenzako hapo wizarani mlioweka ubongo wenu kwenye mifuko ya mabeberu…

Facts ni kwamba JPM ni kisiki mlimshambulia alipokuwa hai na hata sasa hayupo bado mnae na anawatesa sana…mizizi yake ipo itaishi milele na atawasumbua sana…you have got to mark up or disappear….
 
Hoja mama ni ipi . Mtu ambaye ana support umeme kukatwa bila mpangilio halafu unasema una kiwanda. Huu kama siyo upunguani ni nini. Kwahiyo uko radhi kuingia gharama zisizo na ulazima kwa kukatiwa umeme bila taarifa

Kiwanda atoe wapi huyu mbulula
 
Jibu la kisomi kwa mbumbumbu

Yaani unamansha hapatakuja kuwepo na altenative yaani repair isiathili uwepo wa umeme?
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
 
K
Wahiyo aliposema anawapa wiki mbili alikurupuka?.
 
It seems wewe ni mtumishi wa Tanesco/Wizara ya Nishati na Madini.

Nasikitika kutamka kwamba kwa majibu yako haya na yale ya mheshimiwa sana Waziri itatulazimu tusubiri miaka mingine 60 ili kuwa walau na miundombinu na huduma bora za kijamii.

(1 Fal 19:7)
 

Jpm ni habari nyingine niswala la mudatu.
Mijitu inayo jitoa akili humu kumshambulia yote itaungana kukiri uborawake.
 
Kama haya majibu yana walakini nini sababu halisi? Je atakuwa anahujumiwa ili aonekane hatoshi? Na kama kweli anahujumiwa je hawa wahujumu wanalitendea haki taifa hili? Ipi adhabu stahili kwa wahujumu kama kweli wapo?
 

Huna unalolijua wewe…hakuna cha engineering wala ufundi uchokijua..JPM alikuwa anawachana live sijui you know, you know this, you know here ….anawaangalia anawacheka tu na upumbavu wenu uliowajaa kichwani…
 
Mama Samia sijui alishauriwa na nani kuliteua hili galasa.
 
Si bure ni hasira za kutumbuliwa hizi.
 
Mbaya sana anamuingiza the Legendary kwenye ukakasi wake 🤔!.

Binadamu yeyote anayeelekea kushindwa hawezi kuruhusu kuharibu mwenyewe lazima atafute wa kumtupua lawama.

Hapa kijana mwenzenu anamtupia lawama Magufuri how?.
Huu unaweza kuwa ujinga kabisa, why usitende kwa wakati wako, yale ya generator kupiga kazi bila matengenezo ni uongo uliotukuka, why hayakuzima kwa wkt huo?.
 
Jibu swali la msingi kwamba:-
Je, uchakavu ulisubiri makamba na bodi yake waingie ndipo ulete madhara??

Kama ni scheduled maintenance kwanini hawatangazi na badala yake wanakata kiholela??

Stop blaming others for your own incompetence.
Tukimlegezea huyu jamaa atatuletea ma Symbion, Aggreko na IPTL nyingine. Hii ni vita ya kiuchumi inaendelea kumbukeni mkataba wa Songas kuiuzia umeme serikali unaisha 2024 na kutokana na kuiuzia serikali umeme kwa bei kubwa ilipanga kutoendelea nao. Tutegemee figisu nyingi sana zitatokea kipindi hiki maana Songas wanataka waendelea, Symbion, Aggreko na IPTL na wao bado wana mitambo yao hapa nchini na wao wanataka waiuzie umeme serikali kwa hali hiyo lazima yatengenezwe mazingira ya kuwarudisha na usije ukashangaa JNHPP ikahujumiwa na tukarudi kutegemea umeme wa hawa jamaa.
 
Tambua kuwa kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi wake na si kutengeneza faida. Ni mapato kiasi gani serikali inapata kwa kutoa elimu msingi (Std I - Form IV) bure!?
Ni mapato kiasi gani ya moja kwa moja serikali inapata kwa kujenga barabara na madaraja nchi nzima!?

Suala la umeme ni sawa na Elimu, barabara n.k. Serikali haipaswi kuona mzigo kuwahudumia watu wake. Ikiwa Tanesco/Serikali waliweza kupata zile pesa za Escrow ambazo mwisho wa siku watu walizigawana kwa kubeba kwenye mafurushi ilikuwaje wakashindwa kununua hivyo vifaa unavyivisema!? au ni kwa nini wasingetumia pesa hiyo kununua hivyo vifaa ili kuboresha miundombinu yao!?
 
Makamba nimeanza kumwona tapeli.. huko twitter sasa hivi ukimchallenge unakula block
 
We kweli kubwa jingaaaaaa
 
Utaumiza kichwa sana kwa watu wasio elewa Engineering hasa katika Field hii ya Electrical Engineering.
Mimi huwa nasema kuwa Umasikini wa nchi ndio husabisha yote haya. Kwenye nchi masikini lazima yafuatayo yatokee kwa kiasi kikubwa.
1. Umeme kukatika sana
2. Ajali za barabarani
3. Wastani wa umri wa kuishi kuwa mdogo
4. Magonjwa kuwa mengi hupelekea sababu namba 3.
5. Elimu kuwa duni
6. Kilimo kisichokuwa cha tija.
7. Nk.

Jaribu kufanya comparison research between nchi masikini zote utakuta matatizo yanafanana sana. Leo Zimbambwe au Gambia watu kukaa siku 3 hana umeme na akiupata anaupata just for some hours tu not more than 24hrs hii ni kwasababu ya umasikini.
Nchi tajiri kwanza wayleave ziliishapangwa kitambo, source za generation zipo kibao, kama overhead lines wanatumia insulated ambavyo vyote ni gharama sana.
Ukija kwenye barabara Technology ya speed monitoring ni kubwa sana. Barabara ni pana au unakuta lanes zinakuwa 2 kwa 2 au zaidi, magari yakitumika km kadhaa ndio yanaletwa huku kwetu ajali zitatokea muda gani kama sio kwa speed tu baasi. Sijawahi kusikia ajali Ulaya au Marekani kwa gari kugongana uso kwa uso.

Umasikini, Umasikini.
Kwa miundo mbinu ya Tanzania hata aje Newton, Faraday, Ampere, Volts, Tesla, Kirchhoffs, Fleming, Edinson lazima umeme ukatike unless miundombinu ibadilishwe iwe underground tena yote.
 
We ni kubwa jingaaaaaa,punguza ujuaji Umbwa weeee
 

Sawa engineer tuwekee basi plant layout utuelezee jinsi mitambo ilivyomuogopa Magufuli…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…