Sasa unabisha hajasema?
Kama unabisha basi fata ubongo wako na wake unaoozea makaburini huko
Alisema hataki kuona umeme unakatika,wakamwambia mzee ni lazima tufanyie mitambo maintenance,akasema sitaki,wakamuacha afie huko na shirika lake la kiduwanzi!
Uzuri kafa yeye kabla mitambo haijafa!
Sasa kama upo hapa kufata mawazo ya jitu la Mirembe and on top of that limekufa,then your thinking is highly suspect!
Yaani unaacha to think and do for your own self,unatumia thinking la gonjwa la Mirembe plus na lilishafia huko makuburini linaoza,then una matatizo makubwa sana ya existence!
Think for yourself you dummies!
Na kama hamtaki FACTS nyie fateni facts zenu za kufikirika toka kwenye bongo zenu zenye kufanya utungaji wa insha non stop!
Losers!
Dummy ni wewe na huyo clone mwenzako hapo wizarani mlioweka ubongo wenu kwenye mifuko ya mabeberu…
Facts ni kwamba JPM ni kisiki mlimshambulia alipokuwa hai na hata sasa hayupo bado mnae na anawatesa sana…mizizi yake ipo itaishi milele na atawasumbua sana…you have got to mark up or disappear….