January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Sasa unabisha hajasema?

Kama unabisha basi fata ubongo wako na wake unaoozea makaburini huko

Alisema hataki kuona umeme unakatika,wakamwambia mzee ni lazima tufanyie mitambo maintenance,akasema sitaki,wakamuacha afie huko na shirika lake la kiduwanzi!

Uzuri kafa yeye kabla mitambo haijafa!

Sasa kama upo hapa kufata mawazo ya jitu la Mirembe and on top of that limekufa,then your thinking is highly suspect!

Yaani unaacha to think and do for your own self,unatumia thinking la gonjwa la Mirembe plus na lilishafia huko makuburini linaoza,then una matatizo makubwa sana ya existence!

Think for yourself you dummies!

Na kama hamtaki FACTS nyie fateni facts zenu za kufikirika toka kwenye bongo zenu zenye kufanya utungaji wa insha non stop!

Losers!

Dummy ni wewe na huyo clone mwenzako hapo wizarani mlioweka ubongo wenu kwenye mifuko ya mabeberu…

Facts ni kwamba JPM ni kisiki mlimshambulia alipokuwa hai na hata sasa hayupo bado mnae na anawatesa sana…mizizi yake ipo itaishi milele na atawasumbua sana…you have got to mark up or disappear….
 
Jibu la kisomi kwa mbumbumbu

Yaani unamansha hapatakuja kuwepo na altenative yaani repair isiathili uwepo wa umeme?
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
 
K
Bada naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme.

Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme.

Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Wahiyo aliposema anawapa wiki mbili alikurupuka?.
 
Unaongea mavi tu

Yaani tanesco iache kuweka pesa kwenye generation na kulinda grid kama grid eti aje atumie hela yooooote kusimamia emergency faults mitaani hasa mitaa masikini kama yako

Pumbavu nyie

Yaani mnadhani mna haki ya kila kitu bure..kwa umeme wa 1000 unaonunua wa Luku?

Ukiwa CEO wa Tanesco shirika lenye kupata hasara kila siku,lingekufia....yaani badala ya kuweka sawa generation halafu na transmission kwenye level ya "grid" eti aje akufate wewe mtaani huko mavini kusiko pesa yeyote?

With actual numbers 85% ya mapato ya Tanesco yanatoka viwandani

Hapo 15% ndio majumbani kwenye wanunuzi wa Luku nyie maiti...infact wananchi woteee wa majumbani ni hasara kwa Tanesco

Liveline Equipments kontena ndogo ya 20feet ni shilingi bilioni 6-8 sawa na USD 2.5mil minimum..Ili kila mtaa uwe na hivyo vifaa lets say kila mkoa wa Kitanesco uwe na kontena 5 ya hizi

Maana yake kwa mikoa nearly 40 (sio mikoa ya kiserikali maana naona ushaanza kupanua matako) ni jumla ya 100mil USD sawa na msaada anaotafuta Samia Suluhu kila siku Ulaya kwa mabeberu na bado hawampi

Unaongea mavi kabisa takataka nyie
It seems wewe ni mtumishi wa Tanesco/Wizara ya Nishati na Madini.

Nasikitika kutamka kwamba kwa majibu yako haya na yale ya mheshimiwa sana Waziri itatulazimu tusubiri miaka mingine 60 ili kuwa walau na miundombinu na huduma bora za kijamii.

(1 Fal 19:7)
 
Dummy ni wewe na huyo clone mwenzako hapo wizarani mlioweka ubongo wenu kwenye mifuko ya mabeberu…

Facts ni kwamba JPM ni kisiki mlimshambulia alipokuwa hai na hata sasa hayupo bado mnae na anawatesa sana…mizizi yake ipo itaishi milele na atawasumbua sana…you have got to mark up or disappear….

Jpm ni habari nyingine niswala la mudatu.
Mijitu inayo jitoa akili humu kumshambulia yote itaungana kukiri uborawake.
 
Kama haya majibu yana walakini nini sababu halisi? Je atakuwa anahujumiwa ili aonekane hatoshi? Na kama kweli anahujumiwa je hawa wahujumu wanalitendea haki taifa hili? Ipi adhabu stahili kwa wahujumu kama kweli wapo?
 
Katika mambo serious kama ya makampuni hua sishabikii mwanasiasa maana ni mataahira kama wewe

Nashabikia mafundi/engineers/wataalamu wenye fani wanao run hizi mambo

Nishabikie wanasiasa ambao ni bonafide lunatics?

Ndio maana nipo hapa nime analyze sababu hizi za kifundi na sio mambo yenu nyie ya kufikirika

Mnakuja na hoja eti wasifanye maintenance ili msikose umeme...halafu siku system nzima inalipuka sababu ya kukosa maintenance mtajenga nyie mataahira?

Mbwa kasoro mikia kabisa,nyie na wanasiasa wenu!

Huna unalolijua wewe…hakuna cha engineering wala ufundi uchokijua..JPM alikuwa anawachana live sijui you know, you know this, you know here ….anawaangalia anawacheka tu na upumbavu wenu uliowajaa kichwani…
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.





View attachment 1990619

View attachment 1990620
Mama Samia sijui alishauriwa na nani kuliteua hili galasa.
 
Mimi namchukia Magufuli nyie mnamchukia Makamba

Yaani unalalamikia kosa nalofanya wakati wewe unalirudia hilo hilo,wewe ni nani kama sio taahira?

Magufuli ni hewa kama ulivyo wewe na wenzako..useless!

Mpo hapa mnabishana na FACTS za engineering...what a bunch of clowns!

Yale yale ya yule taahira "Mungu kasema hakuna korona"..Mbuzi nyie!
Si bure ni hasira za kutumbuliwa hizi.
 
Mbaya sana anamuingiza the Legendary kwenye ukakasi wake 🤔!.

Binadamu yeyote anayeelekea kushindwa hawezi kuruhusu kuharibu mwenyewe lazima atafute wa kumtupua lawama.

Hapa kijana mwenzenu anamtupia lawama Magufuri how?.
Huu unaweza kuwa ujinga kabisa, why usitende kwa wakati wako, yale ya generator kupiga kazi bila matengenezo ni uongo uliotukuka, why hayakuzima kwa wkt huo?.
 
Jibu swali la msingi kwamba:-
Je, uchakavu ulisubiri makamba na bodi yake waingie ndipo ulete madhara??

Kama ni scheduled maintenance kwanini hawatangazi na badala yake wanakata kiholela??

Stop blaming others for your own incompetence.
Tukimlegezea huyu jamaa atatuletea ma Symbion, Aggreko na IPTL nyingine. Hii ni vita ya kiuchumi inaendelea kumbukeni mkataba wa Songas kuiuzia umeme serikali unaisha 2024 na kutokana na kuiuzia serikali umeme kwa bei kubwa ilipanga kutoendelea nao. Tutegemee figisu nyingi sana zitatokea kipindi hiki maana Songas wanataka waendelea, Symbion, Aggreko na IPTL na wao bado wana mitambo yao hapa nchini na wao wanataka waiuzie umeme serikali kwa hali hiyo lazima yatengenezwe mazingira ya kuwarudisha na usije ukashangaa JNHPP ikahujumiwa na tukarudi kutegemea umeme wa hawa jamaa.
 
Una mantiki,sema hukunielewa...Umeelewa unavyojisikia wewe!
Ntakuelewesha paragraph copy inayofuata

Tanesco haijaacha kufanya maintenance eti haina vifaa!

Sijasema hivyo ndugu

Nimesema Tanesco inafanya Maintenance kwa lazima ya KUZIMA umeme maana haina vifaa vya kufanya kazi na Live lines kukiwa na umeme usizimwe!

Umenielewa?

Au bado?

Ni kwamba Tanesco inafanya maintenance safi kabisa kukiwa na dead lines maana umeme UMEZIMWA wananchi hawana umeme

Ili kufanya maintenance na umeme bila kuzima mkuu inahitaji vifaa maalumu sana vinaitwa "Liveline Equipments" ambapo Tanesco haina hela ya kununua.

Ila maintenance inafanyika vizuri kwa KUZIMA umeme ndio normal practice tangu shirika lianzishwe huko 1940's

Hakuna mahali nimesema Tanesco haifanyi maintenance sababu eti hakuna vifaa....Vifaa vya deadline vipo....tatizo ni vifaa vya liveline tu!

Hizi blah blah

Nakupa hesabu za kikubwa hapa..uniambie wewe kama bwana dev senior kutoka dev senior electric company limited kama ungefanya:

1)tanesco inajenga 85% mauzo yake yote kutoka wateja wa viwandani
2)Mauzo ya 15% tu ndio yanatoka majumbani
3)Asilimia 80% ya umeme wooote nchini unauzwa Dar es salaam tu
4)Asilimia 20% ya umeme uliosalia unauzwa mikoa mingine yote 24 iliyobakia put together

Kwanza, ni heri wananchi wote nchi nzima wazimiwe umeme wao wote uchukuliwe wote uende viwandani..maana majumbani kuuza umeme ni hasara na gharama za miundo mbinu kupeleka umeme majumbani na return zake ni HASARA

Pili,Ni heri mikoa mingine yote iliyobakia izimwe umeme usipelekwe kabisa uje Dar es Salaam pekee yake maana kuna 80% maana kuupeleka huko ni hasara...Gharama za miundombinu kupeleka umeme mikoani yote 24 iliyobaki ni kubwa mno compared na rate of return kwa mauzo ya umeme ya asilimia 20% tu.

Hivyo basi kama CEO dev senior Tanesco inafanya total charity kuwaletea umeme majumba na kupeleka umeme mikoani kote.

Hivyo sehem pekee penye ununuzi wa umeme wenye faida ni Nyerere Road na Mikocheni viwandani pekee...pengine kote including your poor house ni hasara!

Kaeni kwa kutulia
Tambua kuwa kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi wake na si kutengeneza faida. Ni mapato kiasi gani serikali inapata kwa kutoa elimu msingi (Std I - Form IV) bure!?
Ni mapato kiasi gani ya moja kwa moja serikali inapata kwa kujenga barabara na madaraja nchi nzima!?

Suala la umeme ni sawa na Elimu, barabara n.k. Serikali haipaswi kuona mzigo kuwahudumia watu wake. Ikiwa Tanesco/Serikali waliweza kupata zile pesa za Escrow ambazo mwisho wa siku watu walizigawana kwa kubeba kwenye mafurushi ilikuwaje wakashindwa kununua hivyo vifaa unavyivisema!? au ni kwa nini wasingetumia pesa hiyo kununua hivyo vifaa ili kuboresha miundombinu yao!?
 
Makamba nimeanza kumwona tapeli.. huko twitter sasa hivi ukimchallenge unakula block
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.





View attachment 1990619

View attachment 1990620
 
Nani kakwambia kazi ya serikali ni kukutolea Huduma?

Sio kazi ya serikali

Kazi ya serikali ni kutoa ulinzi kwa wananchi na kutoa haki

Kujitafutia maisha na huduma na kuhakikisha unaishi na kupumua ni kazi yako wewe mwanadamu

Eti serikali ikupe "huduma",hizi una malaria wewe?

Serikali ni baba yako?Wewe ni mtoto wake?

Ni kazi zenu nyie wananchi kujitafutia mnachotaka na sio serikali.....

Yaani vizazi vya handouts hivi mnatia aibu,eti nataka kutunzwa na serikali,utaliwa tako wewe!
We kweli kubwa jingaaaaaa
 
Nina cherehani,si kiwanda hicho au mmesahau?

Kama cherehani si kiwanda basi sina kweli...

Maana nina cherehani tatu mkuu

Tufanye sina chochote,are you happy now?

Good,lete hoja zingine,ila ziwe za engineering!

Kama ni za Kalemani vs Makamba vs Magufuli pelekeni huko huko CCM
Utaumiza kichwa sana kwa watu wasio elewa Engineering hasa katika Field hii ya Electrical Engineering.
Mimi huwa nasema kuwa Umasikini wa nchi ndio husabisha yote haya. Kwenye nchi masikini lazima yafuatayo yatokee kwa kiasi kikubwa.
1. Umeme kukatika sana
2. Ajali za barabarani
3. Wastani wa umri wa kuishi kuwa mdogo
4. Magonjwa kuwa mengi hupelekea sababu namba 3.
5. Elimu kuwa duni
6. Kilimo kisichokuwa cha tija.
7. Nk.

Jaribu kufanya comparison research between nchi masikini zote utakuta matatizo yanafanana sana. Leo Zimbambwe au Gambia watu kukaa siku 3 hana umeme na akiupata anaupata just for some hours tu not more than 24hrs hii ni kwasababu ya umasikini.
Nchi tajiri kwanza wayleave ziliishapangwa kitambo, source za generation zipo kibao, kama overhead lines wanatumia insulated ambavyo vyote ni gharama sana.
Ukija kwenye barabara Technology ya speed monitoring ni kubwa sana. Barabara ni pana au unakuta lanes zinakuwa 2 kwa 2 au zaidi, magari yakitumika km kadhaa ndio yanaletwa huku kwetu ajali zitatokea muda gani kama sio kwa speed tu baasi. Sijawahi kusikia ajali Ulaya au Marekani kwa gari kugongana uso kwa uso.

Umasikini, Umasikini.
Kwa miundo mbinu ya Tanzania hata aje Newton, Faraday, Ampere, Volts, Tesla, Kirchhoffs, Fleming, Edinson lazima umeme ukatike unless miundombinu ibadilishwe iwe underground tena yote.
 
MImi kubwa compared to who?

Au umegeuka mganga?

Do you know me in really life mpaka ujue ni "kubwa" kiasi gani?

Infact,thats reflects on you more than me!

Jinga ni wewe unaejaribu kuproject your own ignorance to others ambapo hatujakutuma au kukuomba your useless services!
We ni kubwa jingaaaaaa,punguza ujuaji Umbwa weeee
 
Ninajua na nina vyeti vya chuo kikuu kuhusu hii taaluma,I can show you!

Wewe una chochote cha kuprove kua unajua these things more than me?

Eti hakuna engineering,wewe unayo?

Ni kama unamwambia daktari professional "hakuna udaktari" as if wewe ndio unao compared to him

Sikiliza ndugu,toa hoja za kifundi hapa ueleweke,sio unakimbilia "hakuna engineering" as if wewe una counter argument bora zaidi ya engineering hiyo hiyo kumbe ni maneno tu,no argument whatsoever!

Losers!

Sawa engineer tuwekee basi plant layout utuelezee jinsi mitambo ilivyomuogopa Magufuli…
 
Back
Top Bottom