Muongo....repair zilikuwa zinafanyika na kipindi hicho uzuri ulikuwa Tanesco walilazimika kutoa taarifa kuhusu kukatika kwa umeme na na muda wa kurudisha....sasa hivi hata taarifa hakuna tena...Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Huyu kashakuwa mtoto wa mamaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Angekuwepo kwenye awamu zake zote umeme ungekatika au ungewaka? Tysitafute vichaka vya kujifichiaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Hivi mnatuonaje?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Hiyo scheduled repair inanyika wapi na saa ngapi? Huu ni uhuni tu kuzungumzia mambo jumla jumla. Umeme unakatika muda usioleweka na na ukipita mitaani huwaoni hao wanaofanya scheduled repairs?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Repairs kubwa huwa zinakamilika ila zile za dharura huwa haziishi kwa mfano Gari limegonga nguzo za Umeme au mvua ya upepo.Sawa, umeme utakuwa stable lini? Ksb watu tunataka umeme siyo maneno.
Jamaa ni mkweli sanaMakamba kaongea ukweli.
Ok nakubaliana na wewe katika hili lakini nchi yoyote inayojielewa ni lazima kuwa spin reserve kuruhusu Maintenance PM bila kukata umeme.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Kipindi cha Magufuli watumishi walikuwa wanaogopa kufukuzwa na kubambikiwa Kesi.Jamaa ni mkweli sana
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Anaogopa kusema maji yamezidi unga. Anahangaika na kumpiga makofi marehemu anafikiri inasaidia π π π π π π π π πJanuari anaweza kudanganya wajing wachache lakini si watu wote.
Enzi za Prof. Muhongo na baadaye Kalemani walikuwa wanafanya ukarabati masaa 24 kwenye substations au kwenye national grid lines au kwenye plants zao za generation. Walikuwa wanakwenda kwenye marekebisho hata wakati wa mvua au usiku wa manane.
Ukitoa taarifa wanakuja haraka na wanafuatilia mara kwa mara kama aliyetoa taarifa amehudumiwa na ameridhika.
Ungekuwa demuu ungezalishwa ukiwa form 2 wewe shukuru mungu kakuumba wa kiume!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Dogo anajionaga Einsten sana kmmmkscheduled repair hadi usiku??!....ama kweli egoism ni mbaya sana kwa mawanasiasa kijana!
Tumechagua kamba wacha zitusokote mpaka tunyooke, muhimu jengo jeupe halina mgao.
Nchi zilizoendelea wanakaa miaka 30 bila umeme kukatika, ina maana wao hufanya scheduled repairs lini.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064