Muongo....repair zilikuwa zinafanyika na kipindi hicho uzuri ulikuwa Tanesco walilazimika kutoa taarifa kuhusu kukatika kwa umeme na na muda wa kurudisha....sasa hivi hata taarifa hakuna tena...Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Huu ni mgao period.
Mbona Aweso kakiri kuhusu mgao wa maji?...huu ndio uungwana...