January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Muongo....repair zilikuwa zinafanyika na kipindi hicho uzuri ulikuwa Tanesco walilazimika kutoa taarifa kuhusu kukatika kwa umeme na na muda wa kurudisha....sasa hivi hata taarifa hakuna tena...
Huu ni mgao period.
Mbona Aweso kakiri kuhusu mgao wa maji?...huu ndio uungwana...
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Hiyo scheduled repair inanyika wapi na saa ngapi? Huu ni uhuni tu kuzungumzia mambo jumla jumla. Umeme unakatika muda usioleweka na na ukipita mitaani huwaoni hao wanaofanya scheduled repairs?

Waziri uwaambie TANESCO waweke tangazo kwenye magazeti yenye kuonesha ratiba ya Scheduled repair. Ratiba hiyo itaje maeneo ambako umeme utakatwa na kwa muda gani na pia hiyo repair inafanyika wapi.
 
Kwahiyo Scheduled repair lazima umeme ukatwe kama mgao?
Nchi za wenzetu zisizo katika umeme hawana hizo repair.

Sababu ya hovyo kabisa kutolewa na kiongozi.
 
Sawa, umeme utakuwa stable lini? Ksb watu tunataka umeme siyo maneno.
Repairs kubwa huwa zinakamilika ila zile za dharura huwa haziishi kwa mfano Gari limegonga nguzo za Umeme au mvua ya upepo.

Ni matumaini yetu kabla ya pilkapilka za Krismasi Umeme uwe wa uhakika .
 
Januari anaweza kudanganya wajing wachache lakini si watu wote.

Enzi za Prof. Muhongo na baadaye Kalemani walikuwa wanafanya ukarabati masaa 24 kwenye substations au kwenye national grid lines au kwenye plants zao za generation. Walikuwa wanakwenda kwenye marekebisho hata wakati wa mvua au usiku wa manane.

Ukitoa taarifa wanakuja haraka na wanafuatilia mara kwa mara kama aliyetoa taarifa amehudumiwa na ameridhika.
Anaogopa kusema maji yamezidi unga. Anahangaika na kumpiga makofi marehemu anafikiri inasaidia 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Duh, so jamaa waliwasha umeme 24/7 tukashangilia huooooo huoooo kumbe bila kuzifanyia routine maintenance hizo machine - sasa vinu vya kufulia umeme hoi bin taabani na maji nayo kau - tumekwisha yaani joto kali na kuoga hakuna dadeq.
 
Back
Top Bottom