January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

Huenda akili huna. Utapambanaje na wenye akili sasa
 
Haipunguzi ukweli wa alichokisema. Uchaguzi wa 2020 ulikuwa ubakaji wa demokrasia na janga Kwa nchi. Itachukua Muda mrefu kutibu majeraha yale. Ni Zuzu tu atabisha.
 
Kama lao kina nchimbi kinana na samia sio moja kum demonise magufuli huyo makamba anastahili kuitwa kuhojiwa. Asijifanye ana akili sana wakati ni mtu mjinga tu mnafiki mlafi zaidi ya fisi. Watanzania walionyesha imani na mapenzi makubwa sana kwa jpm. Mtu kama makamba anayepigana kumchafua ajue mwisho wake kisiasa uko wazi kwa sababu ni mamluki wa ubeberu.
 
Kama hao waliyokua wanatekwa ni fisadi na wauza madawa ya kulevya au ni ni wale waliyokua wanaunga mkono uasi rufiji sasa utasemaje magufuli aliteka watu. Au wewe ni mmoja wapo katika makundi hayo ya wapinga maendeleo na fisadi?
 
Na hata mama yao huyo ipo siku watamnawa na kumzihaki pia.
 
Cha ajabu anajua uchaguzi ulikuwa haramu lakini kang'ang'ania ubunge uliotokana na uchaguzi haramu. Mnafiki fulani
 
Mbaya zaidi wanapambana na Marehemu aka dead body, hapo ndio wanaponichekesha.

Kupambana na JPM ni kufanya zaidi ya yale aliyofanya.
Ndugu, mwili wa mtu aitwaye "Magufuli" ndio haupo, umekufa na kuzikwa...

Lakini matokeo ya matendo yake (historia yake) ipo na itaishi vizazi na vizazi ikiwaathiri watu positively au negativily mpaka kesho hata utimilifu wa dahari..

✍️Yesu Kristo alikufa na kufufuka miaka zaidi ya 2000 iliyopita, lakini huwezi kuifuta historia yake. Yupo na anaishi na kutenda kazi miongoni mwa watu!!

✍️Mwl. Julius K. Nyerere amekufa na kuzikwa miaka 34 iliyopita, lakini matendo yake yapo yanaishi na kuwaathiri watu mpaka Leo!!

✍️ Benjamin W. Mkapa kafa miaka 7 iliyopita lakini matendo yake yapo na yanaishi na atasemwa sana tu..

✍️Huyu Magufuli kafa juzi tu halafu unafikiri matendo mazuri na machafu yake yanaweza kusahaulika unadhani?

##Hawa viongozi waliokwisha kufa, matendo yao waliyoyafanya wakati wa uongozi wao ktk nchi hii ndiyo yanayowafanya wawe reference na hilo usije ukafikiri litafutika!

Waliandika historia yako na hiyo itadumu vizazi na vizazi hata mpaka mwisho wa dunia hili .

##Kwa hiyo, watu hawana shida na mwili wa binadamu aitwaye "Magufuli" ambao tayari ni mavumbi tu kwa sasa.

##Shida ni wameacha historia gani kama viongozi..

Weka hili kwenye akili yako. Acha kuwa mjinga usiyeelewa!!
 

Dead man dont count
 
Anayeongelewa hapa ni januari makamba, siyo mama. Wewe vipi tena!
 
Hon.Makamba ametumia freedom of speech yake, Mr.Saanane yupo wapi?,je tunaifikiria familia yake?,coal ipo njiani kwenye ile address pendwa
Saanane,saanane saanane,huo ndio Wimbo wa watu wajinga,hakuna kitu kingine zaidi ya hiyo singeli,!?. Hamjui kama huo wimbo umebuma??!!.
 
Umeongea kwa kwa uchungu sana mkuu.kweli inaumiza moyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…