Pumbavu wewe na jitu katili, na bila shaka unailetea nchi familia katili, elewa Mr.Saanane ni human being kama wewe na ana familia, maadam wewe unakula kwa shemeji fisadi unaona kila kitu ni sawa, huku lingusenguse watoto wanalimia meno
Kama hao waliyokua wanatekwa ni fisadi na wauza madawa ya kulevya au ni ni wale waliyokua wanaunga mkono uasi rufiji sasa utasemaje magufuli aliteka watu. Au wewe ni mmoja wapo katika makundi hayo ya wapinga maendeleo na fisadi?