dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Utakuwa hujaelewaDuh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa hujaelewaDuh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Ulitaka babako ,babantilie ndie aagize maana sio mwanasiasaSiyo watapinga bali hili ni agizo la Kisiasa tu, labda kama wewe ni mgeni wa sekta ya Nishati ya umeme Tanzania. Huyo Mkurugenzi kapokea maagizo akijua everything will be business as usual.
Kwa miaka 5 ndio hao wateja wamewekewa umemeDuh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Hata mwaka ule tuliambiwa richmond wangemaliza kero za umeme. Isijekuwa kuna mazingira yanatengenezwa.Simbachawene alitwambia matatizo ya upatikanaji umeme itakuwa historia gesi ikifika Dar es Salaam. Gesi imefika Dar es Salaam lakini bado matatizo yapo pale pale.
Tunajua Simbachawene siyo Makamba.
Huko uchagani si ndio mnasemaga eti mmeendendelea kila kitu kipo ,kumbe mnalala gizani pamoja na kuikumbatia chademaAcha uongo kata ninayotoka mm hakuna umeme ,kata ya lugulu wilaya ya same ,kata hii ina vijiji vinne ,kanza ,vumba, vushanje na lugulu vijiji vyote hivyo havina umeme
Kwani unapoambiwa tupo million 60 inamaanisha tuna makazi (nyumba) million 60?Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Waziri kama kapaniki vile maana sio kila kitu lazima kutishiana sehemu ya kuzungumza na kueleweshana maana hapo kisaikolojia na kisosologia inaweza kuua morali ya wafanyakazi/wataalamu maana hao anaowatishia wameajiriwa kutokana na taaluma na wanamikataba so kwa viongonzi hasa wa kisiasa Kuna wakati kauli zao hazionyeshi busara na ukomavu zaidi ya mihemukoKwa hiyo unataka waziri akae kimya sio?
Hayo ni maoni yako, usitake kulazimisha yawe ukweli.Waziri kama kapaniki vile maana sio kila kitu lazima kutishiana sehemu ya kuzungumza na kueleweshana maana hapo kisaikolojia na kisosologia inaweza kuua morali ya wafanyakazi/wataalamu maana hao anaowatishia wameajiriwa kutokana na taaluma na wanamikataba so kwa viongonzi hasa wa kisiasa Kuna wakati kauli zao hazionyeshi busara na ukomavu zaidi ya mihemuko
Makamba yuko sawa,baada ya kifo cha Magufuri,watenda wengi wamerudisha uzembe, kipindi cha Magufuri tanesco walikuwa wanatoa tarifa ya kukata umeme watu mnajiandaa, sasahivi kila baada ya masaa mawili umeme unakatika tena bila tarifa, kwenye utawala wa Magufuri mbona haya hayakutokea? wakati ndio miundombinu ilikuwa dhaifu sanaHizi nguruwe zina shida sana, sasa unafikiri waziri akifoka umeme ndio utakua haukatiki kwa miundo mbinu ya kibongobongo ie pesa zinazotolewa na serikali kwaajili ya ukarabati hazitoshi au hakuna transformer imeungua umeme umekatika unamfukuza meneja. Kwamba meneja atoe pesa yake kukarabati miundombinu ya shirika🙄🙄
Hebu acha kutumia mata.ko kufikiria jaribu kutumia akili kidogo
Kwa akili yako unafikiri waziri anayo mandate ya kumfukuza mfanyakazi kazi yeye hapo analeta siasa tu mtu wa kuongea hapo ni katibu mkuu wa wizara uwaziri ni Kama chupi ya kuazima cheo hicho kinategemea mood ya raisiHayo ni maoni yako, usitake kulazimisha yawe ukweli.
Kwaiyo wewe uko Tanzania nzima unaona Mara zote umeme unapokatika lazima mkubali miundombinu ya umeme ina shida na mingine ni yakizamani hata wakati wa huyo mtu wenu umeme ulikatikaMakamba yuko sawa,baada ya kifo cha Magufuri,watenda wengi wamerudisha uzembe, kipindi cha Magufuri tanesco walikuwa wanatoa tarifa ya kukata umeme watu mnajiandaa, sasahivi kila baada ya masaa mawili umeme unakatika tena bila tarifa, kwenye utawala wa Magufuri mbona haya hayakutokea? wakati ndio miundombinu ilikuwa dhaifu sana
Kwa hiyo kwa akili yako waziri hana huo uwezo?Kwa akili yako unafikiri waziri anayo mandate ya kumfukuza mfanyakazi kazi...
0Kati ya hizo trilioni zilizotajwa. Faida shilingi ngapi?
Waziri cheo chake ni ceremonial zaidi, mwenye wizara ni katibu mkuu sema mawaziri wamepewa mdomo na kujimwambafayi yaani ingekua inawezekana nafasi za uwaziri zitolewe kabisa kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza uwajibikaji kwa makatibu wakuu maana ndio watendaji wa shunguli za kila siku za wizaraKwa hiyo kwa akili yako waziri hana huo uwezo?
Tatizo lako unapenda kulazimisha uongo kuwa ukweli.Waziri cheo chake ni ceremonial zaidi, mwenye wizara ni katibu mkuu sema mawaziri wamepewa mdomo na kujimwambafayi yaani ingekua inawezekana nafasi za uwaziri zitolewe kabisa kupunguza matumizi ya serikali na kuongeza uwajibikaji kwa makatibu wakuu maana ndio watendaji wa shunguli za kila siku za wizara
Sikiliza, mimi siyo mpuuzi kama wewe.H
Hili ndilo tatizo la Watanzania wanapenda kusikia uongo kuliko ukweli,sasa Waziri kasema tanesco wanakusanya tilioni mbili, nyinyi mnabisha,sasa Wewe lete takwimu zako,kumbuka January alikuwa antMagufuri,kama angalikuta tofauti angalisema tu.Tunashukuru Magufuri kutoa shirika hili kwenye mikono ya madeni, Mpaka kuanza kukusanya tirioni.Rip Jonh
Nguzo waweke ila watoe taarifaKwaiyo waache kubadilisha nguzo? Wasiweke tena za zege?
CHADEMA NI KOMEDIAN WENYEWE HUJIITA AKILI KUBWAHii nayo chadema watapinga as if wanataka umeme ukatike
USSR