January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu

Sawa kwahiyo zile tozo za Kodi ya majengo zinazotozwa kwenye luku kwa kila Mita zinaleta Zaidi ya 3.2 Bilioni kila mwezi!!
Vipi wizara ya ardhi wametoa takwimu na hesabu ya hili?
Walishawahi kukusanya kiasi hiki kwenye Kodi ya majengo?
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.

Siyo kila mtu kwenye familia ni Mteja. Mita moja unaweza kukuta inatumiwa na familia ya watu 6
 
Kwani hao milioni 60 kila mtu ana nyumba yake? Tena ujue idadi hiyo ni pamoja na watoto.
Na mashoga wamo humo, wale wenye vishundu uwanja wa fisi nao wamo, wala ngada wamo na majitu mengine ya ajabu-ajabu!
 
Ukisoma Kwa kutulia utaona neno "wazembe au uzembe"
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Kasema mil 3.2 ni “wateja wa mita.”

Waliobaki ni wateja misukule
 
Makusanyo trillion mbili inawezekana kabisa
Inawezekana mikakati ikifanyika sasa na kuendelea. Lakini huyu mkuu amesema idadi hiyo ya wateja tayari imeliwezesha shirika kukusanya kiasi hicho cha pesa, kitu ambacho si kweli. Kuwezekana yanawezekana mengi sana mkuu. Hii nchi ina resources nyingi sana, nchi inaweza kujitegemea kwa kila kitu. Tuna idadi kubwa sana ya watu wanaokula keki ya taifa bila kuwa na manufaa kwa Taifa, tukipunguza hata hao tu, mambo madogo madogo kama madarasa, madawati, zahanati nk tusingekua tunachangishana huko vijijini.
 

Hakuna anayeutaka
 
Hoja yangu ni kwamba, makusanyo (mapato) ya nchi kwa mwezi kutoka vyanzo vyote, hayafiki trillion 2, iweje tuambiwe idadi ya wateja wa TANESCO imeliwezesha shirika kupata mapato ya zaidi ya trillion 2?? Kipindi cha JPM pamoja na msukumo mkubwa na data za uongo juu yake, tuliambiwa mapato ya nchi kwa mwezi yalifika trillion 2 kwa shida sana, zaidi ilikua ni trillion 1.8 au 1.9.
 
Kodi mbalimbali (vyanzo vyote vya makusanyo ya mapato ya serikali).
 
Kichwani mwako inaonekana umejaza tope tu, nimesema wwe unapinga data za waziri Makamba kuwa sio,tupe za kwako basi tukuamini,unabaki unatema pumba tu,hivi unafikiri Makamba anadanganya ili kupata nini?,kama si chuki zako binafisi zidi ya tanesco
 
Matatizo ya kukatika kwa umeme hayawezi malizwa ndani ya wiki 2
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
We nae ndio wale wale tu, unadhani 60mil ya watu basi Mita ziwe ngapi?
 
haha yani tanesco kwa mwezi wakusanye 2 trillion kweli wakati TRA tuu hutoa takwimu za nchi nzima kwa ujumla hawafikishi trillion 1.5 na ikifika haivuki 1.8..... kwa maana hiyo tukikusanya hela za TRA na tanesco tunakuwa na trillion 3 .9 kwa mwezi.... sasa kama kwa mwezi tunaweza kupata trillion 3-4 kwanini tunakopa trillion 3? mbona nchi inaweza kujiendesha na kugharamia miradi yote bila mikopo?

aiseee hizi takwimu ni za mashaka sana
 
Mwambieni aje huku kwetu mlimba,tanesco wanakusanya pesa ya nguzo kwa wateja na kuanza kuwazungusha hadi mwaka unaisha bila kuwawekea umeme majumbani kwao na pesa wamekuka.
Shida ni kuwa pesa yote inaenda makao makuu halafu kwenye jungu kuu. Makao makuu wana priorities zao ambazo sio za watu wa Mlimba. Tanesco Mlimba hawawezi kufanya kitu bila kuwezeshwa na Makao Makuu. Na ushamsikia waziri akizungumzia makusanyo bila kuzungumzia mahitaji. Tayari wanazipigia hesabu. Matatizo makubwa ni ya wana siasa, sio watendaji ingawa nao wanachangia.

Amandla...
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Tofautisha idadi ya watu na idadi ya wateja, kumbuka idadi ya wateja ni sawa na idadi ya kaya au nyumba zilizounganishiwa umeme, utakuta kaya moja ina watu 20.
 
Mkuu umeuliza na matumizi yake yakoje , au unadhani umeme unazalishwa pasipo na matumizi yeyote ya pesa
Grarama za uendeshaji mitambo ya kuzalisha umeme za kila siku, zipoje ?
 
Duh. Yaani nchi ya watu million 60 ina wateja wa umeme 3.2 million tu. Hapa kazi bado ipo....!! Inawezekana kuna lots of eligal connections wao hawana habari.
Hao wateja si ni idadi ya nyumba mkuu. Na nyumba moja yaweza kuwa na mtu zaidi ya mmoja.
 


Wewe na Kiingereza chako cha hovyo, nani kakwambia CCM wanachagua based on uwezo? Hivi mpaka Leo mawaziri wa Afya wangekuwepo!

We Jaffo Acha kuja kutuongelesha ujinga, jengeni maisha yenu kwa nguvu zenu na Sio kila siku to dance with the tunes of Uteuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…