Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Eeh Mungu hiki ni nini kimeandikwa hapa?

Yaani January awe kipenzi cha watanzania wengi kwa lipi hasa analojivunia kulifanya kwa maslahi ya taifa?

Yaani uchaguzi uwe mgumu kisa January kagombea kupitia CHADEMA?

January hana impact yoyote na akigombea against Mheshimiwa Rais Samia basi Samia atapita mchana kweupe bila usumbufu wowote.

Angalau kidogo angegombea Lissu dhidi ya Mheshimiwa Rais Samia hapo pangetokea ugumu kiasi ila bado mama anashinda.
 
Kwa CDM itakuwa ni ngumu sana, labda waende ACT Wazalendo. CDM ilipata somo zuri sana wa "harsh transfer" kama hii kupitia kwa Mzee Lowasa. Sitegemei kama wanawexa wakarudia tena kufanya kosa kama hilo.

Ingawaje kwenye siasa za sasa za Tanzania kila kitu kinawezekana. Mch. Msigwa aliahidiwa shafu katika mojawapo ya ahadi ile "seasonal transfer" lakini mkeka huu umenpita 🥺
 
Unisamehe, ngoje , let me label you. You are shallow minded! Usizue vitu havina kichwa wala miguu!
 
Kemea hii ndoto
 
Hata kama ndio kwenda na trend, wewe umebugi😂😂😂😂😂😂
 
Hizo reject pelekeni huko tunaimani na Lissu 2025
 
Of all peoples unadhani wataenda chadema? Kuwa serious man
 
Mwakani si watabiri walisema upinzani unachukua nchi, sisi tuko tunasubiri yatimie waache walaluane, mabadiliko muhimu
 
Hiyo ndio siasa sitaona ajabu maana mwanasiasa huwa ana ambition zake akiona hazafikii upande huu anaamia upande ule.
 
Hamna mtu mwenye akili timamu atachagua hicho kijamaa kuwa Raisi labda raisi wa Bumbuli huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…