MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wakae vizuri na mzee MAGOMA, Urasi wa YANGA njia nyeupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakudanganya?Makamba hana mvuto wa kisiasa
Makamba hana mvuto, hana ushawishi, hana uwezo.Nani kakudanganya?
Kwa time ipi ya uchaguzi?View attachment 3048305
Mhe January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama Chadema wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli
Wanatumika uzoefu na kauli ya "hakuna rafiki wala adui wa kudumu "Kwa hiyo waliopo wanatumia nini,umeme,maji au mafuta?
Eti...?? !!Na amini huyu mleta uzi atakuwa ni mtu mkubwa mno huko CCM ana pima upepo na anamaanisha kweli...?Walishakula nyama ya binadamu hawa CCM..Uroho wa madaraka wa wana CCM huwafanya watumie hata..inye..tu kufikiri na kuwaza..Kichwa na ubongo
Gutter politics, slander-mongering🚮🚮View attachment 3048305
Mhe January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama Chadema wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli
Siasa zipi hizo?Mh Yaan wewe Siasa za Tz huzifaham kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu ndo utolewe katikat ya sherehe ukiwa mgen rasmiHawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025? Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
si dhani.akifanya hivyo asahau kuja kuwa rais wa taifa hili.kwani lowasa aliweza?View attachment 3048305
Mhe January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama Chadema wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli
Masihara hayo. Kosa kurudia kosa.View attachment 3048305

watoto wa vigogo wa zamani wa CCMKiufupi January na Nape hawana la maana walilofanya kwa Tanzania na watu wake, labda CCM kwa kuwa wanamikakati ya wizi wa kura.
Ngoja tuonesi dhani.akifanya hivyo asahau kuja kuwa rais wa taifa hili.kwani lowasa aliweza?
wamerudishwa chamani kwani walitolewa lini?Wote wawili January na Nape wamerudishwa chamani ili kukiongezea chama nguvu kuelekea 2025.
Mnaodhan wametumbuliwa jidanganye I.
Hawana ubavu huo, kwanza hawajawahi kushinda kwenye uchaguzi wowote zaidi ya kupita bila kupingwa kmmkz.Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli!
Kanishtua sanaUnasema January ni kipenzi cha watanzania wa wapi?