Special Seat
Senior Member
- Jul 21, 2024
- 169
- 301
- Thread starter
- #141
Ngoja tuone,Hawana ubavu huo, kwanza hawajawahi kushinda kwenye uchaguzi wowote zaidi ya kupita bila kupingwa kmmkz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone,Hawana ubavu huo, kwanza hawajawahi kushinda kwenye uchaguzi wowote zaidi ya kupita bila kupingwa kmmkz.
Hawaendi popote labda kwa Mposa na Swanga
Ngoja tuoneMhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli!
Msigwa ni tamaa za nini? Katiba ya nchi inaruhusu kila mwananchi mwenye kukidhi vigezo kuwa na tamaa ya uongozi kama sio uroho!!hizo zitakua tamaa za madaraka sasa
Ni kweli, yaweza kuwa huo ni mchezo wa chess ambao kuugundua ni ngumu.Hao wahuni hawajafukuzwa CCM sasa hivi ndiyo wanaingia chimbo kupanga mikakati mipya ya wizi wa kura,November 2025 wanarudishwa tena kundini.
Hv ni Nani anawataka hao pale CHADEMA?Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli!
Ishu sio sisi ishu hyo tume haipo huru kama wao wanavyodaiSIna hakika kama kuna fursa bado ya siasa za aina hiyo ndani ya CHADEMA.Piga hesabu zako upya...Jombaa...unamiaka mingapi kwenye siasa...,za Tanzania??Uchaguzi uwe mgumu kisa January Makamba ...wa kutokea CCM...?!KOMBO wa Tanga- Kada wa CHADEMA mliyempotezea kusikojulikana nyie CCM kwa siku 29 kumbe mnaye,mkatwaa na kidole chake kimoja cha mkono kisha mkamrejesha,...akigombea Uraisi kupitia CHADEMA..na yeyote yule kutoka CCM-wa CCM hatoboi....
Naona kitu fulani hivi kwa mbele lakini kwakutumia jicho la tatuEeh Mungu hiki ni nini kimeandikwa hapa?
Yaani January awe kipenzi cha watanzania wengi kwa lipi hasa analojivunia kulifanya kwa maslahi ya taifa?
Yaani uchaguzi uwe mgumu kisa January kagombea kupitia CHADEMA?
January hana impact yoyote na akigombea against Mheshimiwa Rais Samia basi Samia atapita mchana kweupe bila usumbufu wowote.
Angalau kidogo angegombea Lissu dhidi ya Mheshimiwa Rais Samia hapo pangetokea ugumu kiasi ila bado mama anashinda.
HaiwezekaniMhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli!
January na nape wote kwa pamoja hawawezi kufika nusu ya ushawishi wa LowasaMhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.
Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.
Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.
Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.
Wakati ni mwalimu wa kweli!
Ngoja tuoneWatulie kabisaaa
Kazi inaendelea
Dkt Slaa unataka iwe kama Biden?Mimi ungeniambia bora Dr Slaa Chadema wakampa nafasi ya kugombea Urais kuliko hao unaowataja kwa nchi hii.Hakuna msipime upepo kwa kumtisha
mama. hao imeisha
CDM watakuwa hawana akili wakiwapokeaKwahiyo wanataka kupishana na Msigwa.😃
Utakuwa ni usajili wa ghafla kweli kweli waje tu CHADEMA✌️