Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.

Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.

Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.

Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.

Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.

Wakati ni mwalimu wa kweli!
Ngoja tuone
 
Hao wahuni hawajafukuzwa CCM sasa hivi ndiyo wanaingia chimbo kupanga mikakati mipya ya wizi wa kura,November 2025 wanarudishwa tena kundini.
 
Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.

Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.

Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.

Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.

Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.

Wakati ni mwalimu wa kweli!
Hv ni Nani anawataka hao pale CHADEMA?
 
SIna hakika kama kuna fursa bado ya siasa za aina hiyo ndani ya CHADEMA.Piga hesabu zako upya...Jombaa...unamiaka mingapi kwenye siasa...,za Tanzania??Uchaguzi uwe mgumu kisa January Makamba ...wa kutokea CCM...?!KOMBO wa Tanga- Kada wa CHADEMA mliyempotezea kusikojulikana nyie CCM kwa siku 29 kumbe mnaye,mkatwaa na kidole chake kimoja cha mkono kisha mkamrejesha,...akigombea Uraisi kupitia CHADEMA..na yeyote yule kutoka CCM-wa CCM hatoboi....
Ishu sio sisi ishu hyo tume haipo huru kama wao wanavyodai
 
Eeh Mungu hiki ni nini kimeandikwa hapa?

Yaani January awe kipenzi cha watanzania wengi kwa lipi hasa analojivunia kulifanya kwa maslahi ya taifa?

Yaani uchaguzi uwe mgumu kisa January kagombea kupitia CHADEMA?

January hana impact yoyote na akigombea against Mheshimiwa Rais Samia basi Samia atapita mchana kweupe bila usumbufu wowote.

Angalau kidogo angegombea Lissu dhidi ya Mheshimiwa Rais Samia hapo pangetokea ugumu kiasi ila bado mama anashinda.
Naona kitu fulani hivi kwa mbele lakini kwakutumia jicho la tatu
 
Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.

Mhe. January Makamba anaona hakuna matumaini tena ya kuwa Rais ndani ya CCM huku akiamini fika kwamba yeye ni kipenzi Cha Watanzania walio wengi.

Bado haijafahamika sababu hasa za January Makamba kutenguliwa ila tetesi zinaonesha ni kushindwa kutekeleza majukumu yake vema.

Hata hivyo bado haijafahamika kama CHADEMA wanaweza wakampatia nafasi hiyo ya kujaribu bahati yake kama walivyofanya mwaka 2015 kwa Hayati Edward Ngoyai Lowassa au laa.

Kama mpango wao huu wa Siri utafanikiwa huenda tukashuhudia Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea mwaka 2025 kati ya January Yusuph Makamba wa CHADEMA na Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM.

Wakati ni mwalimu wa kweli!
Haiwezekani
 
January na nape wote kwa pamoja hawawezi kufika nusu ya ushawishi wa Lowasa
 
Mimi ungeniambia bora Dr Slaa Chadema wakampa nafasi ya kugombea Urais kuliko hao unaowataja kwa nchi hii.Hakuna msipime upepo kwa kumtisha
mama. hao imeisha
Dkt Slaa unataka iwe kama Biden?
 
Hata siku moja hawezi ungana na chama cha udini na ukabila, mtoto wa YUUSUF makamba huyo babaa, Tanga moja hiyoo
 
Back
Top Bottom