Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Wakae vizuri na mzee MAGOMA, Urasi wa YANGA njia nyeupe
 
Kiufupi January na Nape hawana la maana walilofanya kwa Tanzania na watu wake, labda CCM kwa kuwa wanamikakati ya wizi wa kura.
 
Kwa time ipi ya uchaguzi?
 
Eti...?? !!Na amini huyu mleta uzi atakuwa ni mtu mkubwa mno huko CCM ana pima upepo na anamaanisha kweli...?Walishakula nyama ya binadamu hawa CCM..Uroho wa madaraka wa wana CCM huwafanya watumie hata..inye..tu kufikiri na kuwaza..Kichwa na ubongo
 
Mimi ungeniambia bora Dr Slaa Chadema wakampa nafasi ya kugombea Urais kuliko hao unaowataja kwa nchi hii.Hakuna msipime upepo kwa kumtisha
mama. hao imeisha
 
Gutter politics, slander-mongering🚮🚮
 
si dhani.akifanya hivyo asahau kuja kuwa rais wa taifa hili.kwani lowasa aliweza?
 
Masihara hayo. Kosa kurudia kosa.
 
Hawana ubavu huo, kwanza hawajawahi kushinda kwenye uchaguzi wowote zaidi ya kupita bila kupingwa kmmkz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…