Tetesi: January na Nape kutimkia CHADEMA wakati wowote kuanzia sasa

Kwa zile ishu za umeme atakaempa kura labda familia yake
 
Ngoja tuone
 
Hao wahuni hawajafukuzwa CCM sasa hivi ndiyo wanaingia chimbo kupanga mikakati mipya ya wizi wa kura,November 2025 wanarudishwa tena kundini.
 
Hv ni Nani anawataka hao pale CHADEMA?
 
Ishu sio sisi ishu hyo tume haipo huru kama wao wanavyodai
 
Naona kitu fulani hivi kwa mbele lakini kwakutumia jicho la tatu
 
Haiwezekani
 
January na nape wote kwa pamoja hawawezi kufika nusu ya ushawishi wa Lowasa
 
Mimi ungeniambia bora Dr Slaa Chadema wakampa nafasi ya kugombea Urais kuliko hao unaowataja kwa nchi hii.Hakuna msipime upepo kwa kumtisha
mama. hao imeisha
Dkt Slaa unataka iwe kama Biden?
 
Kama Wana hela kama Loasa wapewe nafasi Wagombee uraisi 2025
 
Hata siku moja hawezi ungana na chama cha udini na ukabila, mtoto wa YUUSUF makamba huyo babaa, Tanga moja hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…