Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

Umesema kweli Sana!
 
Tutakuwa wa 5 au 6, kuna Nigeria na Egypt wapo wengi zaidi yetu...

Ambapo bado sio nzuri ukilinganisha na kasi ya maendeleo yetu
... nimezungumzia SADC Mkuu; of course kwa Afrika ni wa 6; Nigeria, Ethiopia, Egypt, DRC, S. Africa, Tanzania.
 
N sisi tuambiwe kuwa tuhame Tandahimba huku na tulipwe.
 
Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu
 
Mbona unateseka, unawasaodia kulea wewe
 
Overpopulation haiwatesi Bali wanahofia madhara tetemeko likija,infact wanashawishi vijana wafunge ndoa wazae,maana wazee wengi kuliko watoto
 
Tetemeko la 2030 linajadiliwa na kuwekewa mikakati madhubuti 2023, Bongo utaambiwa sikuleta tetemeko mimi… Analogy vs Digital.
 
Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu
... lengo ni kujaza eneo?
 
Sahihi kabisa,
 
Wewe ndio zuzu ,hujui population ktk pato LA taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…