Japan: Familia itakayohama Tokyo kulipwa Tsh. Milioni 21.3 kwa kila mtoto

... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Umesema kweli Sana!
 
Tutakuwa wa 5 au 6, kuna Nigeria na Egypt wapo wengi zaidi yetu...

Ambapo bado sio nzuri ukilinganisha na kasi ya maendeleo yetu
... nimezungumzia SADC Mkuu; of course kwa Afrika ni wa 6; Nigeria, Ethiopia, Egypt, DRC, S. Africa, Tanzania.
 
N sisi tuambiwe kuwa tuhame Tandahimba huku na tulipwe.
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu
 
Mbona unateseka, unawasaodia kulea wewe
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Overpopulation haiwatesi Bali wanahofia madhara tetemeko likija,infact wanashawishi vijana wafunge ndoa wazae,maana wazee wengi kuliko watoto
 
Tetemeko la 2030 linajadiliwa na kuwekewa mikakati madhubuti 2023, Bongo utaambiwa sikuleta tetemeko mimi… Analogy vs Digital.
 
Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu
... lengo ni kujaza eneo?
 
... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).

Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Sahihi kabisa,
 
Jamaa yule elimu yake ilikuwa ya mchongo. Trust me. Na wala sizungumzii uwezo wake wa kiingereza bali jinsi alivyokuwa na vision ndogo kwenye mambo ya kisomi. Kwangu mimi elimu yake ilikuwa ni form four na si zaidi. Au form six ya kufeli. Kuanzia digrii ya kwanza alikuwa anafoji.
Wewe ndio zuzu ,hujui population ktk pato LA taifa
 
Back
Top Bottom