Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaWafanye yote ila wasiache kututengenezea gari zetu pendwa Toyota na Lexus
Umesema kweli Sana!... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).
Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Ndio wenyewe huo aisee...ni kuweka mipango tu mkuu unaweza kufika !Mkuu ule kule ni mlima fuji? pazuri sana huku huwa nadhania ni dunia ya mbali kabisa sijui ntakanyaga lini.
... nimezungumzia SADC Mkuu; of course kwa Afrika ni wa 6; Nigeria, Ethiopia, Egypt, DRC, S. Africa, Tanzania.Tutakuwa wa 5 au 6, kuna Nigeria na Egypt wapo wengi zaidi yetu...
Ambapo bado sio nzuri ukilinganisha na kasi ya maendeleo yetu
... uko sahihi Chief.South Africa hawajafika milioni 69, na nahisi kama vile population ya TZ ni kubwa kuliko wao.
Kama nitakuwa muongo jaribu kuchungulia katika linki hii [emoji116][emoji116]
60,6 million people in South Africa | Statistics South Africa
www.statssa.gov.za
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Shukran kwa kunitia moyo mkuu, huu mwaka nna mpango wa kuchafua passport yangu kwa mihuri kadhaa ya nchi za mbali.Ndio wenyewe huo aisee...ni kuweka mipango tu mkuu unaweza kufika !
Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).
Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Mbona unateseka, unawasaodia kulea wewe... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).
Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Overpopulation haiwatesi Bali wanahofia madhara tetemeko likija,infact wanashawishi vijana wafunge ndoa wazae,maana wazee wengi kuliko watoto... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).
Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
... lengo ni kujaza eneo?Ebu elezea kwanini unapingana na ushauri wa kuzaa kadri mtu anavyojisikia,hasa kwa nchi kama tanzania yenye eneo kubwa ambalo halikaliwi na watu
Ni kujaza dunia kama mandiko yanavyodai... lengo ni kujaza eneo?
Sahihi kabisa,... mmoja aliwahi kuwashauri watanzania; fyatueni tu nchi hii ni tajiri sana! Katika SADC, Tanzania ni ya 3 kwa population (61 m) baada ya DRC (92m) na Afrika Kusini (69m).
Kuzaliana bila utaratibu ni hatari sana; Japan na utajiri wao wote overpopulation inawatesa sembuse sisi makapuku!
Wewe ndio zuzu ,hujui population ktk pato LA taifaJamaa yule elimu yake ilikuwa ya mchongo. Trust me. Na wala sizungumzii uwezo wake wa kiingereza bali jinsi alivyokuwa na vision ndogo kwenye mambo ya kisomi. Kwangu mimi elimu yake ilikuwa ni form four na si zaidi. Au form six ya kufeli. Kuanzia digrii ya kwanza alikuwa anafoji.
Kufa wewe basiOverpopulation ni tatizo kubwa sana kwa dunia