Marekani anawaza mbali sana mkuu wale wana strategies za kumnasa samaki kwenye ndiwano kiulaini sana.
China kwa sasa anachoangalia ni Take technology by anyhow and use it, okay! no problem ataiba technolgy na atakuwa na uwezo wa hatari mfano mdogo tu ni Huawei yy sasa hivi ndiye mwenye uwezo hali ya juu sana kutoa 5G hatukatai lakini baba kumbuka kuna kitu kinaitwa mahusiano na mahusiano ndio hujenga soko, hivi kama una shamba kubwa una technlogia ya kulima halafu ukalima wateja wajayakataa hayo mazao ni sawa na workdone=0.
Nikukumbushe anachomfanya Mmarekani ni kitu kimoja Iba technology, zalisha sana lakini kosa soko, hahaha uchumi utaporomoka within seconds. Sawa china ana soko la ndani lakini ukumbuke exports za china to the word is the one highest contributor to her economy! Na ndizo zinazowapa financial power hao wanachin wake wawe na nguvu ya kununua lakini ukumbuke Mmarekani anachomfanyia china ni longrun effect, jiulize na uangalie kwa takwimu ni chi zipi mnunuzi wa bidhaa za china zaidi nitakuletea list hapa kama ushahidi lakini kwa haraka haraka wanunuzi wa china ni America, Europe, India, Brazil, Australia, Japan, Mexico , Canada n. k
Anachofanya Mmarekani anajenga ngome inayoitwa kataa bidhaa za China ambayo haiwezi take place for just two years or three but from 6 to 10 years ambapo mchina baadae atashangaa hee mbona bidhaa zangu hazitoki? Akistuka labda atumie nuclear kutisha nchi nyingine zinunue bidhaa zakke la sivyo kwishne!!!
Halafu lingine Mataifa yote yenye makampuni huko china yanashawishiwa na Mmarekani yaondoe Makampuni hayo kutoka china kwa gharama yoyote na Japan kaanza kutenga budget ili kupunguza ajira za china na ili kupunguza financial power ya soko la ndani la china na lingine yaondoe hayo makampuni ili mataifa hayo yatakapo anza kuzuia bidhaa za china wasije wakajikuta wanazuia bidhaa za makampuni yao wenyewe. Mmarekani anaona mbali sana kaka[emoji28][emoji28][emoji28]. Mchina ajiandae kwa kipondo. Wanarekani wana akili za dunia nzima kwa sababu wanaoishi America ni Chinese-American, Africa American Indian Americans, Taiwanese Americans or Asian Americans, Europe Americans n.k ogopa watu wa race mbalimbali wakikaa pamoja kutoa maoni ni hatari zaidi[emoji112][emoji112][emoji112] siku njema
China's economic recovery depends on the rest of the world