Kajifunze history, aliyesababisha USA kuingia kwenye WW2 ni Japan chini ya utawala wa dikteta Hirohito, ambaye alikuwa na status ya Mungu.
Alifanya kufuru dhidi ya most powerful military base ya USA iliyokuwa kwenye pwani ya Japan.
Bila atomic bomb Nagasaki na Hiroshima, na mkwara wa kushusha atomic bomb nyingine Tokyo, Mungu Hirohito asingesaini waraka toka USA kwamba yéye si Mungu.
Sasa wewe unakimbilia eti ubaguzi, acha uvivu wa kusoma sababu za kufanyika mambo mazito duniàni.
Siku nitakupa sababu za the rise and fall of the third Reich.