kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Na India anawanyemelea kuwapita kiuchumi.. kuna wanaotabiri atawapiku mwaka huu kabla ya kuisha, wengine mwaka 2026 na wengine 2030 ili awe na GDP kubwa akiwa wa nene japan awe wa tano.Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara.
Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na wana akili sana.
Lakini mbona hawasikiki kwenye uwanja wa vita na silaha?ni wameamua wao kufanya kimya kimya au wameamua kukaa pembeni na habari hizo?