Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hivi kwanini japan wazee ni wengi kuliko vijana?Wazeee ni wengi kuliko vijana, hakuna anayetaka kuzaa na hawapendi wahamiaji. Hakuna wapiganaji, na waliopo ni kucheza games na kuendesha Subaru Impreza, Supra GR au Nissan GT-R tu.
Kwa kifupi ni generation ya bata
Kajifunze history, aliyesababisha USA kuingia kwenye WW2 ni Japan chini ya utawala wa dikteta Hirohito, ambaye alikuwa na status ya Mungu.Baada ya Vita ya pili ya mabepari ( nyie huita ya Dunia) Japan waliachaba na kuwekeza Sana kwenye jeshi na kuwekeza Kwa maendeleo ya watu...ila Huwa najiuliza kwanini USA hakumpiga German na nuclear kaenda Kwa mjapani? Wazungu wabaguzi sanaaaa...
Umeuliza swali zuri sana . I wish ningepata wasaha wa kulijibu kwa kirefu ila haitawezekana kwa muda huu. Ila kwa kukudokezea tu swali lako linajibika kwa kuanzia kusoma kuhusu sera ya kuundwa kwa league of nation iliyopigiwa chapuo na aliyekuwa rais wa marekani mdemocrati wooldrow wilson mwaka 1919-1920. Ukipata wasaha soma kitabu kinaitwa world modern history 2nd edition cha ben walsh cha mwaka 2002 nadhani kuanzia kurasa wa 247.Baada ya Vita ya pili ya mabepari ( nyie huita ya Dunia) Japan waliachaba na kuwekeza Sana kwenye jeshi na kuwekeza Kwa maendeleo ya watu...ila Huwa najiuliza kwanini USA hakumpiga German na nuclear kaenda Kwa mjapani? Wazungu wabaguzi sanaaaa...
One child policy iliyoasisiwa china ilileta athari hadi japan.Hivi kwanini japan wazee ni wengi kuliko vijana?
Duh umenipa mpya hebu funguka zaid juu ya huyo mungu wa japanKajifunze history, aliyesababisha USA kuingia kwenye WW2 ni Japan chini ya utawala wa dikteta Hirohito, ambaye alikuwa na status ya Mungu.
Alifanya kufuru dhidi ya most powerful military base ya USA iliyokuwa kwenye pwani ya Japan.
Bila atomic bomb Nagasaki na Hiroshima, na mkwara wa kushusha atomic bomb nyingine Tokyo, Mungu Hirohito asingesaini waraka toka USA kwamba yéye si Mungu.
Sasa wewe unakimbilia eti ubaguzi, acha uvivu wa kusoma sababu za kufanyika mambo mazito duniàni.
Siku nitakupa sababu za the rise and fall of the third Reich.
Emporer hirohito . Jamaa alikuwa na kiburi sana sijapata ona. Ila pia marekani aliamua ku battle na mjapan kwenye vita maana japan alikuwa ameshaiteka karibia bahari yote ya pasifiki. Kama unakumbuka mjapan mwaka wa 41 nadhani ndio aliilipua pearl harbour iliyoko kwenye visiwa vya hawaii huko. Mu yu esi ei akaona kama mazoea yanataka kuzidi sasa . Mjapan anataka kumpanda kichwani.Kajifunze history, aliyesababisha USA kuingia kwenye WW2 ni Japan chini ya utawala wa dikteta Hirohito, ambaye alikuwa na status ya Mungu.
Alifanya kufuru dhidi ya most powerful military base ya USA iliyokuwa kwenye pwani ya Japan.
Bila atomic bomb Nagasaki na Hiroshima, na mkwara wa kushusha atomic bomb nyingine Tokyo, Mungu Hirohito asingesaini waraka toka USA kwamba yéye si Mungu.
Sasa wewe unakimbilia eti ubaguzi, acha uvivu wa kusoma sababu za kufanyika mambo mazito duniàni.
Siku nitakupa sababu za the rise and fall of the third Reich.
Kwani Japan anashida gani na hao jirani zake? Korea na ChinaSasa hivi wanajenga jeshi lao tena upya ila sio kwa ukubwa.
Wana udhibiti mkubwa wa marekani, I know marekani analinda usalama wake hawezi ruhusu Japan awe tishio kiulinzi usalama wake utakuwa mashakani pia.
Pia ana udhibiti mkubwa wa kimikataba yeye na mwenzake ujerumani.
Hata China anamdhibiti katika ule ukanda wao na bara la Asia wanajeshi zuri Japan ila sio tishio sana kama miaka ya nyuma ambao mpaka usalama wa majirani zake ulikuwa mashakani.
Sasa hivi akijaribu kuleta ubabe wake wa kijinga kwa majirani zake Korea zote mbili na China atapigwa mpaka achakae
Kwamba story za alikufa kwenye kemikali ni za uongo?Habari za kujisafisha tu na historia unasema Japan wali attack naval base USA ,je Hitler aliyekuwa anaua wayahudi Kwa sumu na mjapani nani alitakuwa ku surrender? Na upo vitani una surrender ovyo? Nani alikuwa na impact kati ya Hitler na Japan? Hivi vitabu vya wazungu ni overated na baadaye Hitler aliruhusiwa kwenda Argentina na kufa kifo Cha kawaida kabisaa..
Ana historia chafu dhidi yao wote wawili ambayo ameshindwa kukubali makosa yake mpaka leo wanaishi nae kwa makini sanaKwani Japan anashida gani na hao jirani zake? Korea na China
Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara.
Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na wana akili sana.
Lakini mbona hawasikiki kwenye uwanja wa vita na silaha?ni wameamua wao kufanya kimya kimya au wameamua kukaa pembeni na habari hizo?
Hawana shida na mtu hao jamaa very low keyHawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara.
Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na wana akili sana.
Lakini mbona hawasikiki kwenye uwanja wa vita na silaha?ni wameamua wao kufanya kimya kimya au wameamua kukaa pembeni na habari hizo?
Kwa hio Olodarasero ni mcheza porno maarufu na hausemi?siyo kucheck Porno tu dogo
Dunia ya leo hawatishiani kwa idadi ya watu ulio nao jeshini. Israel ina watu wangapi? Vita vya leo watu wanapigana huku wanakunywa kahawa wamekaa sehemu wana check kwenye satelliteJApani ana jeshi la watu ngapi anzia hapo.big nations wana wanajeshi nusu ya population ya japen
Unaifahamu population ya china iliyopigwa na Japan miaka ile ukilinganisha na Japan yenyewe?JApani ana jeshi la watu ngapi anzia hapo.big nations wana wanajeshi nusu ya population ya japen