Ni kweli Lee Harvey Oswald alikuwa ghorofani, na Alipiga risasi,ila alikua ni kama kanyaboya tu! Ukiona picha za mwili wa Kennedy,risasi ilimfumua kisogoni,maanake iliingilia mbele ikatokea nyuma! Risasi ya Lee Oswald ilitakiwa iingilie kisogoni, maana gari ilikuwa imeeisha mpita! Na ukiangalia vizuri utashangaa jinsi alivyomwangukia Jackie! Inaonyesha kuna risasi nyingine mkuu, na Kitendo cha Jack Ruby kumuua Lee Oswald kesho yake, tena kwenye kituo cha polisi, inaonyesha he was just a fall guy, au ningesema mbuzi wa kafara! Huwa naangalia trajectory ya risasi, hasa risasi ya kwanza na ya pili, na utalamu wangu mdogo wa bunduki, naona Oswald aliwekwa pale aonyeshe wazi kuwa ndiye muuaji, lakini real killers bundling, kule Kennedy alipokuwa anaelekea! Kwenye kile kichaka cha majani.Anyway labda na mimi nimekumbwa na hii conspiracy ya kuwa Lee Harvey Oswald was not a real killer.