Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Hii ni propaganda yako
Soma historia vizuri utaona tu, usichukulie vitu at face value.

Jifunze hata historia ya US kwenye uhusiano wao na South America, nchi za arabuni kama Iraq na Iran halaffu ndiyo useme ni propaganda yangu.

Si walimzushia Saddam kuwa ana weapons of mass destruction kumbe hana lo lote?

Soma soma soma na tena ujifunze mengi ya dunia.
 
Asante kwa ufafanuzi, Sadat hakuliwa na walinzi wake, Bali na askari wa jeshi wakitoa heshima zao, walinzi walishindwa kabisa kuzuia, kiongozi aliyeuawa na walinzi wake nadhani ni Indira Ghandi.
Ni kweli kabisa Saddat aliuliwa na wanajeshi waliojipenyeza kwenye kutoa heshima.

Indira Gandhi aliuawa na walinzi wake Sikh ambao walikuwa na hasira baada ya kufanya uvamizi kwenye hekalu lao takatifu kule Amritsar? Sijui kwa nini yule mama alijiaminisha vile kuwaacha wamlinde wakati tayari alikwisha kuwaudhi.
 
Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.
Walinzi wanamaswali 50 yakujibu kwa ufasaha
 
Alishafariki yule jamaa
 
Sikia
Nazungumza sio nahisi au sijui nina elimu ya form 2
Naishi na kufanya kazi na hawa watu
Naifahamu Japan kuliko unavyodhani
Hakuna demokrasi Japan period
Nchi zenye utawala wa kifalme wananchi wake hawana uhuru
Nenda Saudia Thailand etc utamwagilia hekima kwa ubongo wako
Usifananishe Europe North America na Asia
Asia hakuna democracy
 
Nchi zenye utawala wa kifalme wananchi wake hawana uhuru
Mkuu; Norway, Belgium, UK (United Kingdom), Denmark, Netherlands, Luxembourg, Sweden na Spain zina mfumo gani wa utawala? Na unatofautiana vipi na Japan? Labda utufundishe, huenda hatujui chochote.
Naifahamu Japan kuliko unavyodhani
Hakuna demokrasi Japan period
Demokrasia kitu gani bwana, ni ujinga tu na kujipumbaza. Hebu nifundishe tofauti ya mfumo wa kiutawala kati ya Japan na nchi nilizozitaja hapo juu ambazo zote ni za Europe.
Usifananishe Europe North America na Asia
Asia hakuna democracy
 
Samahani kwenye hizo nchi zakifalme vipi kuhusu UK SPAIN nazo zinaingia hapo ama!!!??
 
Pia kuna ile theory ya a magic bullet,

Warren commission wali conclude kwamba only 3 bullet ndio zilitumia kwenye tukio la Kennedy.

Sasa lisasi mbili zilipata maelezo ila moja ndio ikiwa shughuli kupata maelezo yake kiufasaha.

Risasi ambayo ilipiga watu wawili kwa wkt mmoja na katika maeneo tofauti yaani ilimpiga Kennedy kisha ikakata Kona na kumpiga governor wa Jimbo la Texas be. Conally katika sehemu mbali mbali za mwili wake.

Hapo ndipo iligundulika kwamba Tume ya uchunguzi ya kifo Cha Kennedy ilikuwa ni ya mchongo.
 
Kama aliuawa na CIA au watu wa Military basi hao pia walihusika kuunda tume ya Warren,Rais Kennedy na kupendwa kwake kote, kuzaliwa katika familia yenye jina, kuoa mwanamke mzuri, maisha yake binafsi yalikuwa ni shughuli pevu.Labda ni kweli Serikali ya wakati huo iliamua kumuua Rais! Inatisha...
 
C.l.A waliamua kumalizana na Kennedy kwa sababu alikuwa soft on communism, that'll.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…