Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

Dah.. Masikini..

Viongozi Japan naonaga wako peace sana, hawanaga mamno mengi kama mabeberu!

Haya ccm jikusanyeni nendeni msibani sasa maana hayo ma V8 mnayotembelea yametoka huko
 
Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.
Kwanini muhuni kama huyo asipite na Putin
 
Ukistaafu haimaanishi kuwa Watu wenye Uchungu nawe kwa uliyowafanyia na Wao Watastaafu kutaka Kukumaliza.

Kuna mwingine nae Mstaafu yuko Tanzania nasikia Watu wa Kanda ya Ziwa ( hasa kwa Wasukuma na Wasubi ) wana Hasira nae kwa lile la 17 Machi, 2021.
 
RIP Abe
 

Attachments

  • Screenshot_20220708_122819.jpg
    81.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220708_122757.jpg
    85.1 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…