Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Deni wanalipa serikali ya muungano na sio zanzibar yaani sisi watanganyika ni malofa wa kiwango cha juu sana watu milioni 1 wanapata pesa nyingi kiasi hicho. Watanganyima tuamkeni jamani kwa mwendo huu samia mpaka atoke madarakani zanzibar itakuwa kama singapore.
Hakuna tatizo la Zanzibar kuwa Dubai, Singapore au Paris.
Zanzibar wana SMZ na hilo wakiweza kulifanya si tatizo kwa Mtanganyika hata kidogo

AG wakati huo wa GNU alikuwa Othman Masoud. Yeye na wenzake wa CUF wakasema wanataka SMZ ikope bila kupitia JMT kwasababu hilo linazuia maendeleo, JK akawapa haki yao.
Leo wale wale waliokataa mikopo kupitia JMT wanajibanza migongoni kukomba pesa na kuwaachia Watangayika mzigo wa deni.

Tunachosema hapa ni kuwa SMZ ikope hata Trillioni 1000 , walipe wenyewe
Ikiwa watapitia JMT basi tuonyeshwe wapi na kiasi gani wanarudisha madeni waliochukua
Lakini pia tuangalie ukweli! huwezi kutoa Bilioni 280 kwa watu milioni 1.2 ambao ni sawa na wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo wala si Dar ,Arusha, Tunduru au Simiyu
Ni hesabu gani zinatumika ?
 
Mie naona Tanganyika ndio imechukua mgao mkubwa, zilitakiwa zigawiwe sawa kwa sawa. Ni Muungano wa nchi mbili.
Kama kuna hoja za kipuuzi hii ni mojawapo na husemwa sana na Wazanzibar
Ni hoja ya kipuuzi kwasababu ukianza kuangalia kwa jicho la nchi mbili Zbar itabidi ilipe Bara

1. Bajeti ya SMZ haina fungu la Wizara ya mambo ya ndani
2. Bajeti ya SMZ haina fungu la wizara ya mambo ya nje
3. Baeti ya SMZ haina fungu la Wizara ya ulinzi
4. Bajeti ya SMZ haina fungu la Wizara za muungano
5. Bajeti ya SMZ haina fungu ya taasisi za muungano kama Bunge- Wabunge wa Zbar
6. Imefikia hatua hata umeme ni wa Bure kwasababu SMZ haina baijeti- italipwa na Tanganyika
Orodha ni ndefu

Sasa tukigawana sawa, Tanganyika watasema '' SMZ igharamie Wizara ya ulinzi peke yake kwa mwezi mmoja tu' halafu uone !
 
Hakuna tatizo la Zanzibar kuwa Dubai, Singapore au Paris.
Zanzibar wana SMZ na hilo wakiweza kulifanya si tatizo kwa Mtanganyika hata kidogo

AG wakati huo wa GNU alikuwa Othman Masoud. Yeye na wenzake wa CUF wakasema wanataka SMZ ikope bila kupitia JMT kwasababu hilo linazuia maendeleo, JK akawapa haki yao.
Leo wale wale waliokataa mikopo kupitia JMT wanajibanza migongoni kukomba pesa na kuwaachia Watangayika mzigo wa deni.

Tunachosema hapa ni kuwa SMZ ikope hata Trillioni 1000 , walipe wenyewe
Ikiwa watapitia JMT basi tuonyeshwe wapi na kiasi gani wanarudisha madeni waliochukua
Lakini pia tuangalie ukweli! huwezi kutoa Bilioni 280 kwa watu milioni 1.2 ambao ni sawa na wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo wala si Dar ,Arusha, Tunduru au Simiyu
Ni hesabu gani zinatumika ?
Hoja nyepesi hii. Nchi haziwezi kukopa rasmi kama hazina sovereignity. Zanzibar siyo mwanachama wa IMF, World, UN haina uhusiano rasmi wa kibalozi na nchi zinazotoa mikopo. Vunjeni huo mnaouita muungano, ondoeni majeshi yenu ya vamizi (occupation army) Zanzibar ijiendeshe. Ipeni Zanzibar full autonomy muone itakavyowaacha nyuma na vichwa vyenu mlivyojaza mawe badala ya akili. Wanzanzibari wameshawapa talaka nyie machogo lakini bado hamtaki kurudi kwenu bara. Halafu kila siku mnalalamika kuhusu Zanzibar. Kwa nini hamtaki kuondoka?
 
Pengine wajapan ndio wameamua kujenga mradi wa maji zenj,,, ni kama tu UN walivyoamua kutengeza barabara za shy town singida, baada ya kuona miundombinu hiyo ilikuwa ya hovyo hovyo
Na wewe ni great thinker? Ndo mataahira wa mbogo mliojazana kama utitiri!
 
Hii hatari, mbona Zanzibar wamechukua mgao mkubwa hivyo?
Huu Muungano ni wa kinyonyaji kwa Tanganyika,..we need our country back wanapa billioni
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!

Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+

Kazi iendelee....View attachment 2107913
View attachment 2107914
Zanzibar ina watu laki 8. Dar ina watu millioni 4. Tanganyika ina watu millioni , laki 8 wanapata billioni 278, na watu millioni 50 wanapata chini billioni 50. Yaani zanzibar isiyolingana na Kagera na watu wavhache kuliko Kagera. Kama kuna upendeleo sasa huu uko wazi. Mlipaji ni nani Tanganyika. Mimi siku zote niliuteea muungano lakini kama huu ndiyo muungano wa kupewa kila kitu bure, siutaki. Nadhani gharazma za muungano zinakuwa chungu kwa Tanganyika, ndiyo maana inatakiwa ufutiliwe mbali, maana mpaka SSH atakapoachia madaraka Tanganyika itakuwa inachechemea.

Yote kheri
n
 
Hakuna tatizo la Zanzibar kuwa Dubai, Singapore au Paris.
Zanzibar wana SMZ na hilo wakiweza kulifanya si tatizo kwa Mtanganyika hata kidogo

AG wakati huo wa GNU alikuwa Othman Masoud. Yeye na wenzake wa CUF wakasema wanataka SMZ ikope bila kupitia JMT kwasababu hilo linazuia maendeleo, JK akawapa haki yao.
Leo wale wale waliokataa mikopo kupitia JMT wanajibanza migongoni kukomba pesa na kuwaachia Watangayika mzigo wa deni.

Tunachosema hapa ni kuwa SMZ ikope hata Trillioni 1000 , walipe wenyewe
Ikiwa watapitia JMT basi tuonyeshwe wapi na kiasi gani wanarudisha madeni waliochukua
Lakini pia tuangalie ukweli! huwezi kutoa Bilioni 280 kwa watu milioni 1.2 ambao ni sawa na wakazi wa jimbo la uchaguzi la Ubungo wala si Dar ,Arusha, Tunduru au Simiyu
Ni hesabu gani zinatumika ?
Kero za Muungano zilizowashinda Marais waliopita halafu Samia akazitatue ndani ya miezi michache,majibu yake ndiyo haya tunayoyaona!
 
Hoja nyepesi hii. Nchi haziwezi kukopa rasmi kama hazina sovereignity. Zanzibar siyo mwanachama wa IMF, World, UN haina uhusiano rasmi wa kibalozi na nchi zinazotoa mikopo. Vunjeni huo mnaouita muungano, ondoeni majeshi yenu ya vamizi (occupation army) Zanzibar ijiendeshe. Ipeni Zanzibar full autonomy muone itakavyowaacha nyuma na vichwa vyenu mlivyojaza mawe badala ya akili. Wanzanzibari wameshawapa talaka nyie machogo lakini bado hamtaki kurudi kwenu bara. Halafu kila siku mnalalamika kuhusu Zanzibar. Kwa nini hamtaki kuondoka?
Sawa,suala hapa ni kwenye marejesho ya mkopo,Je Zanzibar inajilipia mkopo iliochukua Kwa koti la Muungano?
Suala kutengana ni sawa,ila CCM hawataki!Wananchi tulipendekeza Muungano wa serikali 3 ila CCM kazuia Kwa nguvu zote!
Huu muungano sioni hata faida yake Kwa mtanganyika!
 
Hoja nyepesi hii. Nchi haziwezi kukopa rasmi kama hazina sovereignity. Zanzibar siyo mwanachama wa IMF, World, UN haina uhusiano rasmi wa kibalozi na nchi zinazotoa mikopo. Vunjeni huo mnaouita muungano, ondoeni majeshi yenu ya vamizi (occupation army) Zanzibar ijiendeshe. Ipeni Zanzibar full autonomy muone itakavyowaacha nyuma na vichwa vyenu mlivyojaza mawe badala ya akili. Wanzanzibari wameshawapa talaka nyie machogo lakini bado hamtaki kurudi kwenu bara. Halafu kila siku mnalalamika kuhusu Zanzibar. Kwa nini hamtaki kuondoka?
Well,kwani kuna tatizo gani kwasasa? Rais si Mzanzibar

Hii habari ya kuondoka si njema maana nusu ya Wazanzibar wanaishi bara , wanakila haki
Ipo siku utaangali nyuma na kujutia

Sasa kama Zanzibar inaelewa haina sovereign, kwanini Othman Masoud, AG wakati huo aliongoza jitihada za kutaka Zbar ipewe nafasi ya kukopa? Je, CUF hawakuwa na uelewa?
Unataka kusema AG wa Zanzibar na VP kwasasa hakuwa na weledi unaousema?

Kwasasa Zbar si ina SMZ na taasisi zake sasa nini kinashindika kusema hawataki muungano?
 
Kero za Muungano zilizowashinda Marais waliopita halafu Samia akazitatue ndani ya miezi michache,majibu yake ndiyo haya tunayoyaona!
Na zimebaki siri, Wazanzibar hawasemi kabisa
Tatizo ni kuwa Rais wa JMT ni Mzanzibar na Rais SMZ ni Mzanzibar, nani alisimamia masilahi ya Tanganyika?

Nadhani hili la Watanganyika kubebeshwa mizigo zaidi ya madeni ni mojawapo

Tunataka kujua kero zimemalizwaje?

Kule Dodoma kuna viumbe wa ajabu sana, hawawezi kuhoji wala kuona hatari mbele ya safari
 
Za ndani kabisa,wanasema Dr Philip Mpango ametuuza watanganyika kwenye kutatua hizo kero za muungano!Ikumbukwe mambo ya Muungano Yako chini ya ofisi ya Makamu na SSH alimpa maagizo kero zitatuliwe mara Moja na tukapewa mrejesho kuwa zimetatuliwa!
 
Idadi yao ni kama 4% tu ya watu wote, lakini wanajipa zaidi ya 28% ya pesa yote.
Idadi yao ni 1/6 ya wakazi wa Dar es Salaam. Ukitaka kubaini hilo fikiria kuwa Mbunge wa Zbar anachaguliwa na watu 3,000 idadi ndogo sana ya diwani wa Dar es Salaam kuchaguliwa.
Hao wanachukua takribani nusu ya mkopo ambao hawatalipa na siyo Njombe au Kigoma
Na deni litalipwa na Tanganyika. Yaani hadi kufika 2025 wana wadanganyika mtaidai wenyewe serikali yenu ya Tanganyika.
Hapa ndipo ninaogopa sana na kuwaasa viongozi kuwa kuzuia ni bora kuliko kuponya.

Hali ilipofikia Watanganyika wana manung'nuniko makubwa sana. Kuna ' sentiment, grudge etc'' Tatizo ni kuwa wao ndio wameubeba muungano, siku watakapotafuta short cut hali ni mbaya

Afadhali watu wataufute maridhiano kisheria kupitia katiba maana hiyo 'short cut' haina heri!

Itakuwa kutimuana na chuki za kila aina. Ikifika hapo watakaoumia ni Wazanzibar kwa kila kigezo. Hawa Watanganyika msiwaone kimya mkadhani ukimya ni kuridhika au ni woga!

Nyerere aliona hilo wakati wa G55 na Rais alikuwa Mwinyi na mambo kama haya ya sasa
Wazanzibar wakafuta passport usiku mmoja, walijua hali itakuwa mbaya kwao
 
Za ndani kabisa,wanasema Dr Philip Mpango ametuuza watanganyika kwenye kutatua hizo kero za muungano!Ikumbukwe mambo ya Muungano Yako chini ya ofisi ya Makamu na SSH alimpa maagizo kero zitatuliwe mara Moja na tukapewa mrejesho kuwa zimetatuliwa!
Dr Mpango ameteuliwa na SSH, anachokifanya ni kumridhisha Bosi wake
Matarajio ya VP ni kuwa ipo siku, sasa anaangalia masilahi yake zaidi kuliko ya Tanganyika

VP anampelekea mapendekezo Rais. Katika hilo Rais wa JMT alikuwa Mzanzibar akiongoza majadiliano na SMZ ya Mzanzibar. Mtanganyika hakuwa na mwakilishi, matokeo yake ndiyo haya ya kubebeshwa mizigo ya SMZ kwa jina la JMT. Hivi maji ni jambo la muungano! Jamani fikirieni kidogo tu! lini maji yamekuwa jambo la muungano?

Kero zimetatuliwa kwa njia za siri sana na hata kuzungumzwa haitakiwi.
Hivi kweli leo Wazanzibar hawa akina VP Othman Masoud wanaupenda muungano ! kicheko sana
 
Kama kuna hoja za kipuuzi hii ni mojawapo na husemwa sana na Wazanzibar
Ni hoja ya kipuuzi kwasababu ukianza kuangalia kwa jicho la nchi mbili Zbar itabidi ilipe Bara

1. Bajeti ya SMZ haina fungu la Wizara ya mambo ya ndani
2. Bajeti ya SMZ haina fungu la wizara ya mambo ya nje
3. Baeti ya SMZ haina fungu la Wizara ya ulinzi
4. Bajeti ya SMZ haina fungu la Wizara za muungano
5. Bajeti ya SMZ haina fungu ya taasisi za muungano kama Bunge- Wabunge wa Zbar
6. Imefikia hatua hata umeme ni wa Bure kwasababu SMZ haina baijeti- italipwa na Tanganyika
Orodha ni ndefu

Sasa tukigawana sawa, Tanganyika watasema '' SMZ igharamie Wizara ya ulinzi peke yake kwa mwezi mmoja tu' halafu uone !
Naona hata haya majibu yako ni yakipuuzi vile vile, Unaelewa kua TRA inafanya kazi hadi Zanzibar? Punguza jazba kijana.
 
Alafu bil 220 kwa ajili ya maji, aiseee
wewe ni kilaza! Hutaki watu wapate mma safi na salama?

Mbona huhoji huo ukarabati wa barabara ya wapi, Arusha imetafutana bil. Ngapi?
 
Naona hata haya majibu yako ni yakipuuzi vile vile, Unaelewa kua TRA inafanya kazi hadi Zanzibar? Punguza jazba kijana.
TRA inakusanya Zanzibar hakuna, narudia hakuna hata senti inayovuka bahari
Kama unadhani ipo tueleze mwaka jana kiasi gani kimeletwa TRA makao makuu

Nakuhakikishia makusanyo ya TRA Zanzibar hayawezi kuhudumia Wizara yoyote ya muungano kwa wiki 3. Chagua Wizara yoyote ile tujadili

Bajeti ya Zanzibar ni Trillioni 1 ikiwa ni pamoja na kuongezewa pesa kutoka JMT
Bajati ya Wizara ya mambo ya ndani au Ulinzi ni zaidi ya Trillion.

Gharama za Wizara zote za muungano ambazo ni mara 10 ya Bajeti ya Zanzibar zinalipwa na Tanganyika, sasa TRA italeta nini kutoka Zanzibar!

Hata Wabunge wanalipiwa na Tanganyika! Mikopo ya HESLB inalipwa na Tanganyika, Wanafunzi wa Zbar hawarudishi kama wa Bara. Kwao ni Grant

Wafanyakazi wa muungano ambao Zbar inapata 21% wanalipwa na pesa za Watanganyika, SMZ haitoi hata senti. SMZ ikipewa ilipe wafanyakazi wa muungano kwa mwezi 1 tu haiwezi

Hoja kubwa hapa ni kuwa Zanzibar ilipewa uwezo wa kukopa na shahidi wa hili ni aliyekuwa AG Othman ambaye sasa ni VP akiwa na akina Marehem Maalim na Jusa. Vipi leo wanajificha nyuma ya mgongo wa JMT ambayo ni Tanganyika?

Hapana! Zbar waende wakakope wenyewe kiasi wanachotaka. Hili la kupitia JMT ni kutwisha mzigo Watanganyika kama lile deni la Tanesco lililoplipwa na Watanganyika kwa niaba ya SMZ !
 
Masuala ya maji Zanzibar si ya muungano! kuna SMZ na idara husika
Zanzibar iliruhusiwa kukopa yenyewe nje ya muungano

Kwanini Zbar inakopa kupitia JMT? Hili deni Zanzibar wanalilipa vipi?

Huu ni ujanja wa kukopa na kumtwisha Mtanganyika mzigo

Lakini pia angalia mgao wa mkopo ulivyo. Zanzibar ina watu 1.2 . Dsm ina watu milioni 6 !!

Katiba na Tanganyika ni muhimu kuliko uvyama. Hili deni unalipia ukiwa CUF,ACT, Chadema, CCM ilimradi tu wewe ni Mtanganyika! tafakari na ujiulize

Pascal Mayalla JokaKuu
Naunga mkono hoja yako
Watu milion 1.5 watapataje 28% ya mkopo, halafu kwenye kulipa Zigo litakwenda kwa Watanganyika zaidi
 
Back
Top Bottom