#COVID19 Japan yasitisha utumiaji wa chanjo ya Moderna

Hawa wako smart ndo maana wamegundua hivi...njoo sasa kwenye ile nchi iliyopo katikatika ya nchi ya polio na polo wao wanalazimishana tu ni lini watagundua haya?
 
Kama hao nao hadi dakika hii hawajali kujikinga na corona basi ndio hao hao naowazungumzia mimi, ni ajabu mtu ambaye haoni haja ya kuchukua tahadhari za kujikinga na corona ila et akaone umuhimu wa chanjo. Halafu siku zote nakwambia hizo hisia zako zipo kwenye kila maradhi si corona tu watu tushauguza na kushinda sana hospitali tunaelewa hali zilivyo sasa wewe mkuu naona hukuwahi kupitia hivyo vitu ndio maana kutwa unaleta hisia za wazee wako na issue ya corona.
 
Canada wamewahi kukataa batch fulani za JJ kwa sababu ya uchadu pia. Labda ndiyo zilitumwa kuja kwetu, who knows!
 
Hii habari umeiamini?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
ni ajabu mtu ambaye haoni haja ya kuchukua tahadhari za kujikinga na corona ila et akaone umuhimu wa chanjo
Kwani hata Homa ya ini watu walichukulia serious? Ila waliouguza watu wenye hilo tatizo kma kuna ambaye hajapigwa chanjo ya Hepatitis then akapimwe akili.

My point is watu kutokua na taarifa sahihi haiwezi kujustify kupuuzia chanjo. Kuna watu wanaamini covid haipo ndio maana hawajilindi ila wakiuguza mgonjwa wa covid kuna atakayepinga chanjo??? Narudia tena HAYUPO!!

Wote naofahamu wamefiwa na rafiki/mwanafamilia sababu ya Covid 19 hawakejeli chanjo hta siku moja maana wanaona pengine licha ya changamoto zake but walau ingekua solution kabla ya kifo!!!

So hta wwe hapa kma umeuguza sana wagonjwa wa UKIMWI ndio maana huwezi sahau kujilinda. But kma ungekua na ww hujauguza usingeona jinsi UKIMWI unavyotisha.

Hope you got my point
 
Maxence Melo Paw Moderator Active mods mbona mnaacha mis information kama hizi zinasambaa?? Zinashusha credibility ya hii forum!! Unverified information bila reputable sources ziwe zinafutwa kupunguza faje news.
 
Ngoja nikwambie kitu,kuhusu ukimwi mimi binafsi nishafiwa na ndugu zangu yani ndugu kabisa lakini msimamo na uelewa wangu kuhusu ukimwi ni tofauti na hisia zangu kwa kufiwa na hao ndugu zako kwa huo ugonjwa, ningetaka kutumia hisia tu basi sasa hivi ningekuwa napiga kelele kwamba ukimwi ni ugonjwa hatari kwa sababu nimeuguza na kufiwa na ndugu zangu kwa huo ugonjwa. Sio kila utakachokishuhudia utaweza kukielewa, unaweza ukawa unashuhudia jambo na ukashindwa kuelewa kinachoendelea.

Sasa hao watu wako ambao hawaamini uwepo wa corona halafu et baada ya kufiwa na mgonjwa wa corona ndio wanaona chanjo ingezuia kifo cha ndugu yao basi hao wanatumia hisia mkuu na si kwamba wamepata taarifa sahihi.
 
Wazungu wangekuwa na uwezo wa kutengeneza chanjo, wangekuwa wamesha leta ya Ukimwi na Malalia JPM alijisemea, Na baada tu ya kusema, Wazungu wamekuja na chanjo za Ukimwi na malalia, hawa watu hawa!!
Kuamini au kufuata maneno ya Jiwe inabid kichwani kidogo kuwe na mushikeri.
 
Naamini kwa kuwa nimechanja chanjo nyingi kidogo na hata ndugu zangu na hata wafanyakazi wenzangu , hatujawaipata madhara ikasemekana ni kwasababu ya chanjo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Chanjo ni moja ya sababu life span yetu imepungua toka miaka 80 hadi 50, na bado itazidi kupungua.
 
Tukiwaambia humu Marekani ni muuwaji number 1 duniani mtuelewe, marekani ni hahtari sanaa kwenye huu ulimwengu
 
Yes utaongozwa na hisia.... Maana siku zote usipoguswa kisaikolojia huwezi fanya maamuzi magumu. Kuna watu waliamua kuwa wanasheria sababu tu familia yao iliporwa viwanja..... Kuna watu walisomea masuala ya moyo sababu tu mzee wangu alikufa kwa cardiac arrest n.k so 90% ya maamuzi ya mwanadamu ni emotional sio objective!!

Otherwise dini zisingeenea duniani!! Anyway so wewe fanya utafiti tu kwa jirani zako ambao wamefiwa na mtu kwa sababu ya chronic disease fulani alafu uone reaction yao juu ya huo ugonjwa!! Utakuta katika kila watu 10 waliofiwa na housemate wana kuwa conscious sana na huo ugonjwa.
 
Nadhani hujanielewa ngoja niweke wazi unielewe, ni kwamba pamoja na mimi kufiwa na ndugu zangu kwa kinachoitwa ukimwi(upungufu wa kinga mwilini) ila mimi msimamo wangu ni kwamba hakuna virusi vya ukimwi, kwahiyo pamoja na kuwa na ndugu walifariki kwa kujilikana kwamba ni ukimwi ila bado sijatumia hisia ndio kwanza nina mtazamo tofauti kuhusu ukimwi.
 
Chanjo ni moja ya sababu life span yetu imepungua toka miaka 80 hadi 50, na bado itazidi kupungua.
Sidhani kama umefanya research ya ulichokiongea.
Jaribu ukiwa na akili isiyopinzani na chanjo kufanya research ya kilichosababisha life span kupungua.
Halafu uje uresearch kuhusu chanjo zimechangiaje kwenye life span( kupungua au kuongezeka)
Uwe honesty.
Weekend njema.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umeshuhudia hao walioganda damu na kupararaiz au maneno ya mitandaoni?lete ushahidi wa hiki ulichokisema!
 
Umeshuhudia hao walioganda damu na kupararaiz au maneno ya mitandaoni?lete ushahidi wa hiki ulichokisema!
Kabla hatujaendelea naomba kwanza kukuuliza unakubali hizo side effects zipo au hazipo kabisa?
 
Zipo hata waliochoma ambao nawafahamu wanaeleza ila sio kuganda damu hata 1 hayupo Kati ya hao nawafahamu
Kwahiyo unakataa kwamba chanjo za corona hazina side effects za kuganda damu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…