Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi unabisha sana kitu gani wewe ndugu?Una ugomvi na wajaluo au kuna zaidi ya hayo unayoyabishia?Hivi unafahamu kuwa Kisumu, kuna Kisumu mji na County Government ya Kisumu inayojumuisha maeneo uliyoyataja na mengi mengineyo ndani ya Nyanza Province?
Mkuu.... ebu sema ukweli alooo 🤔Kenyan
Yeye kaandika "jela inamuita"!Kwani anayeitwa kaitika?Usimtukane.Acha ujinga wewee. Jela inamuita wewe no hakimu? Ukikua utajitambua
Kigoma ni scenario tofauti, kufuatia machafuko ya Rwanda, Burundi na DRC wakimbizi wengi wameingia TZ na wengine sio muda mrefu ni miaka ya 80 mpaka 90 na wengine 2000 tu hapa, na hapo ndio inayoitofautisha mikoa mingine yote ya mpakani na ukanda wa magharibiSasa kama yako pande zote kama unavyosema, kitu ambacho ni sahihi, ni kwa nini watu wa mikoa ya Kigoma wanashukiwa na kuambiwa sio watanzania?
Maelezo kama haya yangetosha kabisa kujadili na pengine kutoa fursa kwa wengine kujifunza, hakukuwa na sababu ya kutumia lugha ya kutweza au kutukana kwenye jukwaa hili.Wan
Kigoma ni scenario tofauti, kufuatia machafuko ya Rwanda, Burundi na DRC wakimbizi wengi wameingia TZ na wengine sio muda mrefu ni miaka ya 80 mpaka 90 na wengine 2000 tu hapa, na hapo ndio inayoitofautisha mikoa mingine yote ya mpakani na ukanda wa magharibi
Huku kwengine idadi inaweza kuwa ni wachache sana tena walihama kwa kupenda na waliopo kutenganishwa na mipaka ya wakoloni
Lakini, machafuko ya Magharibi yalifanya waje kwa maelfu, na ndio maana changamoto ya huku imekuwa kubwa sana
Kwa nn?Huyu akitupwa ndani hata sita sikitika, hata kama atakuwa ameonewa.
Umejuaje hana cha kufanya?Mbona wamemfukuza na hana cha kufanya.Ngoma ikilia Sana inapasuka.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna makabila/jamii yameingiliana EA.Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Umejenga hoja yako vizuri tena kwa mifano yenye uhalisia... Unaweza kunifafanulia ni kwa nini formuła hiyo uliyoitaja ni kwa nini inapindishwa hasa kwenye mkoa wa Kigoma? Kwa nini inakuwa vigumu kwa mamlaka zetu kuukubali ukweli uliouainisha hapo juu kuwa kuna koo za waha ziko Burundi Rwanda na DRC au kinyume chake ? 🤔Kuna makabila/jamii yameingiliana EA.
Mfano wajaluo wapo , Kenya [Kisumu,Nyanza,Bondo ] , Tanzania wapo Shirati ] Uganda wapo Bunyoro.
Wamasai wapo Tanzania [Arusha, Longido, Ngorongoro ] Kenya wapo [Narok , Nairobi, Naivasha ] hata Nairobi ni jina la kimasai maana yake mji/sehemu yenye baridi.
Wasomali wapo Somali na Kenya , Kenya wapo kwa wingi Garissa, Wajir na Nairobi na Somalia wapo katika migawanyiko ya kikoo/ukoo.
Wakurya wapo [Tarime,Serengeti na Shirati ]kwa Tanzania na Kenya wanaitwa "wakuria" wapo kwa wingi Kisii na Migori hivyo unakuta majina kama Chacha, Maraga, Mwita utayakuta Tanzania na Kenya pia.
Sijawahi kuelewa kwanini serikali haitaki kuwatambua hao watu wa mipakani na Kigoma hasa Burundi ilhali hata Kiha na Kirundi kinakaribiana na viongozi wengine humo serikalini asili yao ni Burundi na Rwanda hata majina tu yanawatambulisha.Umejenga hoja yako vizuri tena kwa mifano yenye uhalisia... Unaweza kunifafanulia ni kwa nini formuła hiyo uliyoitaja ni kwa nini inapindishwa hasa kwenye mkoa wa Kigoma? Kwa nini inakuwa vigumu kwa mamlaka zetu kuukubali ukweli uliouainisha hapo juu kuwa kuna koo za waha ziko Burundi Rwanda na DRC au kinyume chake ? 🤔
Alichosema CDF kuwa kuna wahamiaji haramu wana nafasi nyeti serikalini 90 % wanatokea kipande cha mpakani mwa Kigoma ..na Kagera 10% kuikuta Rwanda.Hizi double standards ndio zilizozalisha mgogoro kama ile iliyoko mashariki mwa DRC. Hizi steriotypes mara nyingi zinaanzishwa na viongozi kwa masilahi yao binafsi na kwa kiwango kikubwa Tshisekedi amethibitisha hilo. Hii mipaka ya wakoloni ndio inayotugawa, kwa bahati mbaya viongozi nao wanaipa uzito kwa madai ya kulinda sheria za nchi ambazo zinatokana na ubatili.
Na tarimeeOtieno ni jina la kijaluo
Wajaluo wapo kenya tu?
Ukikosa akili unakuwa mjinga