Kiburi chake akaletee Segadansi wamnyooshe,ndegelesiii.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani. Wajaluo wapo Kenya, Uganda na TanzaniaMartin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? 😳
Jamaa tangu atetee ule ujinga wa Tume ya Ichaguzi nilimuona Hana maanaKATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka.
Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha kazi Maganga kutokana na kupoteza sifa baada ya kufukuzwa kazi na mwajiri wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha kukumatwa kwa kiongozi huyo pamoja na wenzake wakati wa mkutano huo.
“Tulipata taarifa kuwa kuna watu wanafanya fujo tukaenda kudhibiti kabla hayajatokea madhara. Kwenye mkutano huo sisi hatufahamu ilikuwaje zikatokea fujo. Ukitaka kufahamu zaidi waulizwe CWT wenyewe,” amesema Kamanda Otieno.
Source - Nipashe
Mbona wamemfukuza na hana cha kufanya.Ngoma ikilia Sana inapasuka.Huyu mwamba [emoji1672][emoji1672][emoji1672]
1. Kakataa uteuzi wa Raisi.
2. Kakatazwa kibali cha kuendelea CWT kutoka kwa muajiri wake.
3. Kapewa Onyo arudi kituo cha kazi
4. Kaitwa Kwemye Kamati ya maadili (TSC)
5. Kafukuzwa kazi,
6. Kagoma kuachia madaraka akidai ni mwanachama halali.
7. Akakatazwa uwanja Siku ya walimu pale mwanza, Akamsingizia Raisi, akapewa Onyo..
8. Bajeti ya Meiomosi Ya mwezi Wa 5 mwaka huu aligawa tenda Tangu mwaka jana, Akaambiwa akwa mbabe.
Huyu ni Mwamba, blv ,hatafanywa chochotee..
Usipende kuongea ujinga hadharani. Unamfahamu yule Polisi anaitwa Bageni kwenye kesi ya Zombie unaijua kabila lake?Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Wilaya ya RoryaRubbish! Hebu toa uthibitisho wa kuwa wajaluo asili yao iko Tanzania.
Wewe unayemjua ndio useme.😳Usipende kuongea ujinga hadharani. Unamfahamu yule Polisi anaitwa Bageni kwenye kesi ya Zombie unaijua kabila lake?
We ulizani huyu anashida na kazi? Hivi mtu ugomee barua ya mwajiri, ugomee wito wa Kamati ya maadili? Ulizani hakujua what next? Unadhani hakujiandaa?Mbona wamemfukuza na hana cha kufanya.Ngoma ikilia Sana inapasuka.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Rorya ni kwa wajaluo?Wilaya ya Rorya
Huko cwt hakufanyiwi Auditing,kiburi kinazaa anguko.Labda wamuonee huruma Ila Segadansi panahusika.We ulizani huyu anashida na kazi? Hivi mtu ugomee barua ya mwajiri, ugomee wito wa Kamati ya maadili? Ulizani hakujua what next? Unadhani hakujiandaa?
Amekula pakubwa mnoo, na pengine hat huko kutokurudi achilia mbali anajua mshara ni sio kama huko cwt, ukute alishaukopea wote, hivyo hana cha kupoteza.
Ngoja awaendeshe, wamemlea.
Wewe kweli unaumwa unamfahamu Katibu Mkuu Kiongozi kipindi Cha Nyerere akiitwa Timothy Apiyo? Alikuwa mjaluo wa Rorya. Wewe Baki na assumptions ZakoOtieno ni jina au ubini wa wajaluo ambao wanapatikana Kisumu zaidi lakini kusini magharibi mwa Kenya. Ushahidi ulioutoa kwa mifano kwa watu uliowahisi kuwa warundi hauna tofauti na kumhoji Otieno aliyepo Tanzania kwa kuwa kuna Count nchini kenya inayofahamika kama eneo lenye idadi kubwa ya wajaluo tena wenye ardhi na urithi wao, kuwepo Tanzania au Uganda bado hakuhalalishi kuwa watanzania mpaka point iliyopo hapo juu itekelezwe.
Ukusema Kisumu vipi kuhusu Siaya na Homabay.Wajaluo wako Kisumu Kenya, hapa ndipo waliposettle na kutwaa ardhi. Hata wakitaka kujitenga eneo lao ni Kisumu, sio Mara wala Busia...
Kuwa VERIFIED ni u-smart asipoteze sifaa😝😝😝Wewe ni mpumbavu na mjinga nashaanga hadi upo verified unaongea km mtu asiyekuwa na elimu
Wajaluo asili yao ni kenya na Tanzania hasa mkoa wa mara Tanzania na magharibi mwa kenya
Apiyo namfahamu sana tu, tena mwanaye nimesoma naye.... Kwa hiyo unataka kutoa uthibitisho kuwa ni mjaluo wa Rorya?Wewe kweli unaumwa unamfahamu Katibu Mkuu Kiongozi kipindi Cha Nyerere akiitwa Timothy Apiyo? Alikuwa mjaluo wa Rorya. Wewe Baki na assumptions Zako
Hivi unafahamu kuwa Kisumu, kuna Kisumu mji na County Government ya Kisumu inayojumuisha maeneo uliyoyataja na mengi mengineyo ndani ya Nyanza Province?Ukusema Kisumu vipi kuhusu Siaya na Homabay.
Tanzania imeingiliwa Mkuu amini nachokwambia...kama Mkuu wa Majeshi kaliona hili hautaweza kupata majibu hapa...Hivi unafahamu kuwa Kisumu, kuna Kisumu mji na County Government ya Kisumu inayojumuisha maeneo uliyoyataja na mengi mengineyo ndani ya Nyanza Province?
Hivi kuwa verified Jf inahitaji level flani ya elimu?Wewe ni mpumbavu na mjinga nashaanga hadi upo verified unaongea km mtu asiyekuwa na elimu
Umekosea kabisa. Huwezi kutumia jina kujua mtu katokea wapi. Otieno, Okello, Onyango ni majina yenye asili ya kijaluo na yapo Tanzania.Huu ni mjadala ambao unajadiliwa mara kwa mara humu na una dalili za ndimi mbili. vigezo cha majina na ubini ndivyo vinavyotumiwa na Jeshi letu la uhamiaji kuwanyanyasa watu wa mipakani hasa mikoa ya Kigoma na Kagera. Majina ya Otieno asili yake ni Kisumu Kenya, Kwa nini mtu anaanzisha matusi humu badala ya kujadili hoja? Kwa nini kuwe na double standards huku raia wa mipaka na Kenya, Mbeya,Ruvuma, au Zanzibar wasiguswe?